Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor.
ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA OCTOBER 21 MWAKA 2018.
Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa.
Shikamooni wakubwa zangu wote. Uandishi wangu unaweza ukakosa mpangilio. Naombeni mniwie radhi.
Kwa kipindi cha mwezi uliopita nilikopa pesa kiasi cha 50,000/= kutoka kwa classmate wangu Beautiful Nkosazana ambaye nilimuahidi kuwa ningemlipa mwezi huu tarehe 21.
Sasa leo nilikuwa ninatuma kiasi hicho cha pesa kwa classmate kwa kutumia mtandao wa Vodacom nikakutana na changamoto moja ambayo naona engineers wa kampuni hizi za simu wanaweza kuboresha if they are willing.
Unapomtumia mtu pesa basi kuwe na options mbili.
(1) Tuma pesa (kama ilivyo)
(2) Tuma Pesa (na pesa ya kutolea)
Option number moja ndio iliyopo sasa. Ila hii option ya pili kwa sasa haipo. Hii ni kwamba kwa kuwa mimi ninatuma 50,000 kwa classmate wangu na ninataka kumtumia na pesa ya kutolea, sipaswi kuanza kuwaza hivi pesa ya kutolea 50,000 ni kiasi gani? Ama nikimtumia mtu 175,000 pesa ya kutolea ni kiasi kipi?
SYSTEM INAPASWA KUFANYA CALCULATIONS AUTOMATICALLY kisha kutuma pesa yote pamoja na pesa ya kutolea.
Hii ni idea yangu tu. Nipo tayari kukosolewa. I stand to be corrected.
Pia unaweza kuisoma hapa
WALICHOKIFANYA VODACOM.
Kwenye User interface Menu hapo chini nenda mpaka number 6
WALICHOKIFANYA AIRTEL
Vodacom waweke concrete evidence hapa kuthibitisha kuwa hii sio idea yangu.

Pesa ya kutolea (Mobile Money Account) inapaswa kuwa calculated automatically na system. Telecom Engineers ongezeni ubunifu.
Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa. Shikamooni wakubwa zangu wote. Uandishi wangu unaweza ukakosa mpangilio. Naombeni mniwie radhi. Kwa kipindi cha mwezi uliopita nilikopa pesa kiasi cha 50,000/= kutoka kwa classmate wangu Beautiful Nkosazana ambaye nilimuahidi kuwa...
www.jamiiforums.com