Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor.

ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA OCTOBER 21 MWAKA 2018.

IMG_20191015_121802_910.jpg

Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa.

Shikamooni wakubwa zangu wote. Uandishi wangu unaweza ukakosa mpangilio. Naombeni mniwie radhi.

Kwa kipindi cha mwezi uliopita nilikopa pesa kiasi cha 50,000/= kutoka kwa classmate wangu Beautiful Nkosazana ambaye nilimuahidi kuwa ningemlipa mwezi huu tarehe 21.

Sasa leo nilikuwa ninatuma kiasi hicho cha pesa kwa classmate kwa kutumia mtandao wa Vodacom nikakutana na changamoto moja ambayo naona engineers wa kampuni hizi za simu wanaweza kuboresha if they are willing.

Unapomtumia mtu pesa basi kuwe na options mbili.

(1) Tuma pesa (kama ilivyo)

(2) Tuma Pesa (na pesa ya kutolea)

Option number moja ndio iliyopo sasa. Ila hii option ya pili kwa sasa haipo. Hii ni kwamba kwa kuwa mimi ninatuma 50,000 kwa classmate wangu na ninataka kumtumia na pesa ya kutolea, sipaswi kuanza kuwaza hivi pesa ya kutolea 50,000 ni kiasi gani? Ama nikimtumia mtu 175,000 pesa ya kutolea ni kiasi kipi?

SYSTEM INAPASWA KUFANYA CALCULATIONS AUTOMATICALLY kisha kutuma pesa yote pamoja na pesa ya kutolea.

Hii ni idea yangu tu. Nipo tayari kukosolewa. I stand to be corrected.
Pia unaweza kuisoma hapa



WALICHOKIFANYA VODACOM.
Kwenye User interface Menu hapo chini nenda mpaka number 6
IMG_20191015_104146_576.jpg


WALICHOKIFANYA AIRTEL
IMG_20191016_190238_842.jpg


Vodacom waweke concrete evidence hapa kuthibitisha kuwa hii sio idea yangu.
 
Huwezi wadai sababu hiyo ilikuwa Ni idea yao ya siku nyingi na minute za kikao wanazo toka mwaka juzi ila wewe ulisikia kwa mtu wa Vodacom kwenye baa uka post humu Kama idea Yako wakati ni.kitu kilikuwa ofisini kinafanyiwa Kazi

Namba mbili Ni wajibu wa kampuni yeyoye kushughulikia malalamiko ya wateja kwa hiyo unataka kuwashtaki kwa kushughulikia malalamiko Yako au? Mfano duka linachelewa Kufunguliwa ukalalamika kwa hiyo wakiwahi kufungua kutatua kero Yako unatakiwa kuwashtaki kuwa wamechukua idea Yako?

Tatu hiyo idea Yako ilikuwa na copy right ?uliisajili?
 
Huwezi wadai sababu hiyo ilikuwa Ni idea yao ya siku nyingi na minute za kikao wanazo toka mwaka juzi ila wewe ulisikia kwa mtu wa Vodacom kwenye baa uka post humu Kama idea Yako wakati ni.kitu kilikuwa ofisini kinafanyiwa Kazi

Namba mbili Ni wajibu wa kampuni yeyoye kushughulikia malalamiko ya wateja kea hiyo unataka kuwashtaki kwa kushughulikia malalamiko Yako au? Mfano duka linachelewa Kufunguliwa ukalalamika kea hiyo wakiwahi kufungua kutatua kero Yako unatakiwa kuwashtaki kuwa wamechukua idea Yako?

Tatu hiyo idea Yako ilikuwa na copy right ?uliisajili?
Povu
 
Sidhani kama wata acknowledge your efforts, not in this country, maybe ingekua nje ya nchi, namfahamu jamaa mmoja mbobezi wa IT, aliisadia benki Fulani kwenye app yao, tena kazi kubwa kweli, yani yeye ndio alitengeneza hio app ya benki; but he was never acknowledged for what he did, aliishia mwisho wa siku kutengenezewa zengwe akafukuzwa kazini. Bora kama kitu unacho tafuta wanasheria nenda nao hadi kampuni husika muweke makubaliano, usajili wazo lako kisheria, kwamba wakiikopi hio idea kuna % Fulani utapata kutokana na mauzo ambayo yatakua yanafanyika
 
hongera, hiyo ni moja kumi.

Mfano namba 5 (ni ya kuondoa) kutokana na kwamba taarifa za watumiaji wa mitandao mingine zimeshafanyiwa mjumuisho "synchronization", uchaguapo namba 1 ukiweka namba ya mteja wa kampuni (Voda/TiGO/Zantel/Airt etc) inakuletea majina yake. Changamoto kwa wale ambao hawajasajili line zao.
 
Back
Top Bottom