Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect

Huwezi wadai sababu hiyo ilikuwa Ni idea yao ya siku nyingi na minute za kikao wanazo toka mwaka juzi ila wewe ulisikia kwa mtu wa Vodacom kwenye baa uka post humu Kama idea Yako wakati ni.kitu kilikuwa ofisini kinafanyiwa Kazi
Upuuzi mtupu huu
 
Namba mbili Ni wajibu wa kampuni yeyoye kushughulikia malalamiko ya wateja kwa hiyo unataka kuwashtaki kwa kushughulikia malalamiko Yako au? Mfano duka linachelewa Kufunguliwa ukalalamika kwa hiyo wakiwahi kufungua kutatua kero Yako unatakiwa kuwashtaki kuwa wamechukua idea Yako?
Umeandika kwa jazba sana badala ya logics
 
namfahamu jamaa mmoja mbobezi wa IT, aliisadia benki Fulani kwenye app yao, tena kazi kubwa kweli, yani yeye ndio alitengeneza hio app ya benki; but he was never acknowledged for what he did, aliishia mwisho wa siku kutengenezewa zengwe akafukuzwa kazini.
I feel sorry for this guy aisee
 
Bora kama kitu unacho tafuta wanasheria nenda nao hadi kampuni husika muweke makubaliano, usajili wazo lako kisheria, kwamba wakiikopi hio idea kuna % Fulani utapata kutokana na mauzo ambayo yatakua yanafanyika
Huu ni ushauri wa kiungwana sana kwa huyu kijana mdogo Soldier
 
Dah! kama vipi waambie wakupoze hata vibilioni viwili tu! Ukipata hivyo, unanunua ndinga kali! Full viyoyozi! Mjengo wa maana huko Mbweni! Unamtafuta mtoto mkali kutoka bongo muvi, wa kuuzia naye sura mjini! Mabiznesi ya hapa na pale!

Maisha yenyewe ndiyo haya haya. Ni kula raha tu.
Dah

Huwezi wadai sababu hiyo ilikuwa Ni idea yao ya siku nyingi na minute za kikao wanazo toka mwaka juzi ila wewe ulisikia kwa mtu wa Vodacom kwenye baa uka post humu Kama idea Yako wakati ni.kitu kilikuwa ofisini kinafanyiwa Kazi

Namba mbili Ni wajibu wa kampuni yeyoye kushughulikia malalamiko ya wateja kwa hiyo unataka kuwashtaki kwa kushughulikia malalamiko Yako au? Mfano duka linachelewa Kufunguliwa ukalalamika kwa hiyo wakiwahi kufungua kutatua kero Yako unatakiwa kuwashtaki kuwa wamechukua idea Yako?

Tatu hiyo idea Yako ilikuwa na copy right ?uliisajili?
Unafanya kazi Vodacom?
 
Back
Top Bottom