Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect

Ideas are worth nothing. Only execution. Na sio kitu unique unaweza kuta walikua washafikiria muda mrefu tu wanafikiria wataimplement vipi, ni vitu vinachukua muda sio unafikiria leo tu kesho unatengeneza.
Only execution? What can someone execute without having an idea?
 
Ideas are everywhere, kitu unachofikiria wamefikiria watu wengi tu duniani, ndiyo maana tunasema ideas are worth nothing. Ni vigumu sana kua na business idea unique, waliofanikiwa ni wachache sana ambao walikaa wakaexecute hizo ideas, ziwe zao au waliiba doesn’t matter, the reason wamefanikiwa sio kwa sababu ya idea, ni kwa sababu waliexecute. Em fikiria vizuri utajua nilichoandika ni nini. Ideas are free, so usijesema unadai hela coz ulifikiria kitu flani, its total rubbish
 
Time will tell
 
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor.

ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA OCTOBER 21 MWAKA 2018.

View attachment 1233886
Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa.

Shikamooni wakubwa zangu wote. Uandishi wangu unaweza ukakosa mpangilio. Naombeni mniwie radhi.

Kwa kipindi cha mwezi uliopita nilikopa pesa kiasi cha 50,000/= kutoka kwa classmate wangu Beautiful Nkosazana ambaye nilimuahidi kuwa ningemlipa mwezi huu tarehe 21.

Sasa leo nilikuwa ninatuma kiasi hicho cha pesa kwa classmate kwa kutumia mtandao wa Vodacom nikakutana na changamoto moja ambayo naona engineers wa kampuni hizi za simu wanaweza kuboresha if they are willing.

Unapomtumia mtu pesa basi kuwe na options mbili.

(1) Tuma pesa (kama ilivyo)

(2) Tuma Pesa (na pesa ya kutolea)

Option number moja ndio iliyopo sasa. Ila hii option ya pili kwa sasa haipo. Hii ni kwamba kwa kuwa mimi ninatuma 50,000 kwa classmate wangu na ninataka kumtumia na pesa ya kutolea, sipaswi kuanza kuwaza hivi pesa ya kutolea 50,000 ni kiasi gani? Ama nikimtumia mtu 175,000 pesa ya kutolea ni kiasi kipi?

SYSTEM INAPASWA KUFANYA CALCULATIONS AUTOMATICALLY kisha kutuma pesa yote pamoja na pesa ya kutolea.

Hii ni idea yangu tu. Nipo tayari kukosolewa. I stand to be corrected.
Pia unaweza kuisoma hapa

WALICHOKIFANYA VODACOM.
Kwenye User interface Menu hapo chini nenda mpaka number 6
View attachment 1233902

WALICHOKIFANYA AIRTEL
View attachment 1235372

Vodacom waweke concrete evidence hapa kuthibitisha kuwa hii sio idea yangu.
 
Mie nilitoa wazo na kuwatumia tigo na airtel. Kuhusu kuwa na akauti ya vikundibadala ya kutegemea bank tu naona nao wamelifanyia baada ya miaka 6 kupita. Ni matumaini yangu alosoma email ndo kageuza wazo likawa lake.
 
Back
Top Bottom