Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect

Huwezi wadai sababu hiyo ilikuwa Ni idea yao ya siku nyingi na minute za kikao wanazo toka mwaka juzi ila wewe ulisikia kwa mtu wa Vodacom kwenye baa uka post humu Kama idea Yako wakati ni.kitu kilikuwa ofisini kinafanyiwa Kazi

Namba mbili Ni wajibu wa kampuni yeyoye kushughulikia malalamiko ya wateja kwa hiyo unataka kuwashtaki kwa kushughulikia malalamiko Yako au? Mfano duka linachelewa Kufunguliwa ukalalamika kwa hiyo wakiwahi kufungua kutatua kero Yako unatakiwa kuwashtaki kuwa wamechukua idea Yako?

Tatu hiyo idea Yako ilikuwa na copy right ?uliisajili?

jamaa mbona wewe sikuelewi ? umejuaje kama kakopy ? aisee watu kama ninyi hamfai kabisa, yan unaona mwenzako hawez kuwa innovative ? we unafanya kazi voda ? uliziona hizo minutes ? ulikuwepo kwene kikao ? daaah noma sana
 
Innovation yeyote inasajiliwa Chama Cha hati miliki Tanzania Yaani Cosota au Kama ni trade mark au patent yake inasajiliwa kwa wasajili wa trade mark na patent kote huko haipo.
 
Mkuu, tabia za watu kama huyo jamaa zinaitwa ni SUPERIORITY COMPLEX yaani wanajiona kwamba wao ndio wanajua kila kitu. Ni tabia moja ya kijinga sana.
 
Innovation yeyote inasajiliwa Chama Cha hati miliki Tanzania Yaani Cosota au Kama ni trade mark au patent yake inasajiliwa kwa wasajili wa trade mark na patent kote huko haipo.

sawa lakin hiyo haibadilish kuwa labda yeye ndio kawapa wakeup call ? me hayo mambo ya patent nayajua mkuu
 
Back
Top Bottom