Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect

Huwezi wadai sababu hiyo ilikuwa Ni idea yao ya siku nyingi na minute za kikao wanazo toka mwaka juzi ila wewe ulisikia kwa mtu wa Vodacom kwenye baa uka post humu Kama idea Yako wakati ni.kitu kilikuwa ofisini kinafanyiwa Kazi

Namba mbili Ni wajibu wa kampuni yeyoye kushughulikia malalamiko ya wateja kwa hiyo unataka kuwashtaki kwa kushughulikia malalamiko Yako au? Mfano duka linachelewa Kufunguliwa ukalalamika kwa hiyo wakiwahi kufungua kutatua kero Yako unatakiwa kuwashtaki kuwa wamechukua idea Yako?

Tatu hiyo idea Yako ilikuwa na copy right ?uliisajili?
tupe ujuzi wa kusajil copy right
 
Alafu wengi hawajui hizi ni systems ambazo zina options nyingi ready made fully customizable kuna options nyingi sana kwenye hizi syatems ambazo hazitumiki hapa bongo ila zinatumika kwengine, ukisema ni idea yako utashangaa jinsi hizi systems tayari zina hizo options ila hazitumiki bado.
 
Back
Top Bottom