Hatimaye Viwanda vimeanza kufufuliwa kwa kasi, kumbe inawezekana

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Ile kauli kali iliyotolewa kwa msisitizo na Mh. John Joseph, Kwamba Tanzania ya Magufuli itakuwa ni ya viwanda.
imeanza kutekelezwa kwa hofu kuu na mchakamchaka balaa.

Kwa utafiti mdogo tu , vile viwanda vilivyokuwa vimeotesha nyasi hadi milangoni, sasa hivi ni magreda yanapishana kama nyuki. maeneo ya Pugu Rd. Mwenge, (sam Nujoma Rd) ni mchakamchaka !

BRAVO....JJP Magufuli
 
Umeandika ukiwa haujiamini ni wazi hujui unachoandika pole sana
 
muendelezo wa usanii na ubabaishaji. ni kuwanyan'anya na kuwapa wawekezaji wa kweli. hakuna kulipa mtu sumni na wakorofi wafunguliwe mashtaka.
 
Wanamuogopa lowasa, hatawafumbia macho wezi wote na wauaji wa hivyo viwanda
 
Magufuli hilo haliwezi.kwanza tambua viwanda ni vya nani. Ni vya system ile ile iliyompa shavu kimizengwe akaonekana bora kuwashinda wenzie 38. Kwa hiyo nguvu hiyo hana. Yale ya jukwaani ni politics tu. Pole inakuhusu. Watanyang'anywa wawili watatu choka mbaya kisha itatangazwa tbc one kwamba wamiliki wa viwanda tanzania wanyang'anywa viwanda. Kama c wakuchambua mambo kwa uhalisia wake utapiga makofi na kutupia thread kama hii iliyoachia hapa saivi. Ccm hoyeee!!!
 
acha kukariri watu wa sistem wa wapi bana ... si wameshaaa kuja kwenu , rostam , balozi mwampachu, sumaye .. kingunge na wengine wailopo kimya kinafki . amna tena huu uchafu ccm inazaliwa upya
 
Back
Top Bottom