Hatimaye vivo Y11 yavunja rekodi ya simu zangu

Nilianza na PHILLIPS moja kubwa sana silikumbuki aina gani hii ilikua ya nyumbani hadi mwaka 2007 nilipobahatika kuwa na simu binafsi ambayyo nilipewa na dada yangu nakumbuka ilikua SIEMENS ina kimtambo kama kieria hivi unakivuta juu, hii ilikua swafi sana inatuma sms na ilikua na infrared pia bahati mbaya ikadondokea kwenye maji wakati huo nipo Mbeya nikampelekea Fundi mmoja maarufu maeneo ya Soweto barabara ya moon dust akijiita Shololo.com haikupona kamwe. Baada ya hapo nikahamia kwenye kinokia cha kufunua hiki hakikudumu nikakilalia kikavunjika katikati spea kupata ikashindikana niliambiwa mkanda umekuwaje sijui sikumbuki. Nikapata kinokia kingine jeneza kilikua, toka hapo nikabadili badili nokia baadhi sikumbuki sana mpaka mwaka 2010 nikafanikiwa kununua kwa mtu G-TIDE ya ku slide aiseh hapa nilitamba sana kwa maana ilikua na radio,memory card na bluetooth pamoja na GPRS isivyo bahati haikudumu sana kama ada nikaiharibu mkanda nililalia pia usiku haikupona pia. Kutoka hapo nikarudi kwenye nokia kitochi nikacheza sana game la nyoka mpaka 2011-2012 nadhani nikafanikiwa kupata Motorola L6 kama sikosei ya kufunua zile zilionekana sana kwenye Prison break season za mwanzo, hii MOTO ilikua kila kitu kwa wakati huo kwa maana ilikua na Bluetooth, GPRS naingia online waptrick.com na site kama myspace.com kusaka wachumba wazungu fb nakadhalika nakadhalika. Hii Moto ilikua na uwezo mkubwa kiasi kwamba nilikua naweza ku connect na Dell langu latitude D620 nikapata internet safi usiku nikakesha. Kama ada nayo usiku nikailalia ikakatika kati, ndugu yangu mmoja akaja kuniazima Samsung AT&T hii ilikua unai slide juu ndio unaona buttons zake na hapo juu ilikua kioo tupu nikaiharibu kwa kuidondoshea kwenye maji ikaisha habari yake na kurudi kwenye Nokia kitochi. Mwaka 2012-2013 nikajichanga nikanunua Nokia X2-02 Double line MPYA Dukani Morogoro hii ilikua full boxed. Hii ilinifanya nikeshe Fb na site zingine kwa maana ilikua na uwezo mkubwa zaidi ya Simu zote nilizowahi kutumia mpaka wakati huo baadaye nikaja kumuuzia Msukuma mmoja mara mbili ya bei niliyonunulia na kuhamia kwenye Ulimwengu wa Tecno kwa maana wakati huo Whatsapp imeshika kasi nikaona nisipitwe nayo kama BBM ya Blackberry ilivyonipita. Tecno nimetumia karibia herufi zote za Alphabeti kuanzia sijui N mara P zilikua nyingi kwakweli. Nimedumu kwenye matoleo mbalimbali ya TECNO mpaka mwaka 2015 nilipobahatika kununua simu ya gharama kubwa Samsung Galaxy Note 3. Hii niliuziwa na jamaa mmoja alitoka China nikampa 490k iliniuma mno lakini ndio nikawa nimenunua. Huu Mtambo ulikua 2 ama 3gb kwa 32GB na ulikua unapiga kazi sana hadi mwaka 2016 Nilipobahatika kumuuzia Ndugu yangu mmoja kwa 550k ambapo nilipiga faida tena bahati ilikua upande wangu. Nikanunua OPPO moja 3/32GB haikudumu sana nikauza pia. Kutoka hapo nikahamia kwa INFINIX NOTE 2,3 na X5 kama sikosei hadi mwaka 2018 kama sio 2019 pale nilipohamia kwenye XIAOMI REDMI NOTE 5 PRO, ambayo sikudumu nayo sana nikauza nika advance kwenda XIAOMI REDMI NOTE 8 nayo nikakaa nayo kwa muda hadi mwaka jana msimu ule Corona imeshika kasi April nikauza nikarudi Kwenye TECNO What a Joke! Tecno ilinishinda ilikua 1/16GB nikauza nikanunua SAMSUNG GT E1207Y duos 55K,sifa kuu ni kina redio na betri yake inakaa sana sababu hakuna matumizi ya mara kwa mara ambacho niko nacho mpaka sasa. Nikitoka hapa kama nitatoka by the way nitaenda kwa ndugu zangu XIAOMI aina gani itategemea na ipi kwa wakati huo itakutana na bajeti yangu.
 
Kule ilikuwaga kila kitu aisee, java apps, mp3 low to high quality videos nk.

Sent from my cupboard using mug
Yeah, andro
🤣🤣🤣☝️ Taa za wakimbizi

Mkuu Spark 2 umependea nini wakati haina maajabu?
spark niliyonayo ni tofauti na zawengine, kwanza ni nyembamba sana pia kioo chake ni kigumu ingawa Ramu yake ni 1GB Tofauti na zawengine ambozo ni 2GB ila inakimbiza asikwambie mtu,
 
Mk
Nilianza na PHILLIPS moja kubwa sana silikumbuki aina gani hii ilikua ya nyumbani hadi mwaka 2007 nilipobahatika kuwa na simu binafsi ambayyo nilipewa na dada yangu nakumbuka ilikua SIEMENS ina kimtambo kama kieria hivi unakivuta juu, hii ilikua swafi sana inatuma sms na ilikua na infrared pia bahati mbaya ikadondokea kwenye maji wakati huo nipo Mbeya nikampelekea Fundi mmoja maarufu maeneo ya Soweto barabara ya moon dust akijiita Shololo.com haikupona kamwe. Baada ya hapo nikahamia kwenye kinokia cha kufunua hiki hakikudumu nikakilalia kikavunjika katikati spea kupata ikashindikana niliambiwa mkanda umekuwaje sijui sikumbuki. Nikapata kinokia kingine jeneza kilikua, toka hapo nikabadili badili nokia baadhi sikumbuki sana mpaka mwaka 2010 nikafanikiwa kununua kwa mtu G-TIDE ya ku slide aiseh hapa nilitamba sana kwa maana ilikua na radio,memory card na bluetooth pamoja na GPRS isivyo bahati haikudumu sana kama ada nikaiharibu mkanda nililalia pia usiku haikupona pia. Kutoka hapo nikarudi kwenye nokia kitochi nikacheza sana game la nyoka mpaka 2011-2012 nadhani nikafanikiwa kupata Motorola L6 kama sikosei ya kufunua zile zilionekana sana kwenye Prison break season za mwanzo, hii MOTO ilikua kila kitu kwa wakati huo kwa maana ilikua na Bluetooth, GPRS naingia online waptrick.com na site kama myspace.com kusaka wachumba wazungu fb nakadhalika nakadhalika. Hii Moto ilikua na uwezo mkubwa kiasi kwamba nilikua naweza ku connect na Dell langu latitude D620 nikapata internet safi usiku nikakesha. Kama ada nayo usiku nikailalia ikakatika kati, ndugu yangu mmoja akaja kuniazima Samsung AT&T hii ilikua unai slide juu ndio unaona buttons zake na hapo juu ilikua kioo tupu nikaiharibu kwa kuidondoshea kwenye maji ikaisha habari yake na kurudi kwenye Nokia kitochi. Mwaka 2012-2013 nikajichanga nikanunua Nokia X2-02 Double line MPYA Dukani Morogoro hii ilikua full boxed. Hii ilinifanya nikeshe Fb na site zingine kwa maana ilikua na uwezo mkubwa zaidi ya Simu zote nilizowahi kutumia mpaka wakati huo baadaye nikaja kumuuzia Msukuma mmoja mara mbili ya bei niliyonunulia na kuhamia kwenye Ulimwengu wa Tecno kwa maana wakati huo Whatsapp imeshika kasi nikaona nisipitwe nayo kama BBM ya Blackberry ilivyonipita. Tecno nimetumia karibia herufi zote za Alphabeti kuanzia sijui N mara P zilikua nyingi kwakweli. Nimedumu kwenye matoleo mbalimbali ya TECNO mpaka mwaka 2015 nilipobahatika kununua simu ya gharama kubwa Samsung Galaxy Note 3. Hii niliuziwa na jamaa mmoja alitoka China nikampa 490k iliniuma mno lakini ndio nikawa nimenunua. Huu Mtambo ulikua 2 ama 3gb kwa 32GB na ulikua unapiga kazi sana hadi mwaka 2016 Nilipobahatika kumuuzia Ndugu yangu mmoja kwa 550k ambapo nilipiga faida tena bahati ilikua upande wangu. Nikanunua OPPO moja 3/32GB haikudumu sana nikauza pia. Kutoka hapo nikahamia kwa INFINIX NOTE 2,3 na X5 kama sikosei hadi mwaka 2018 kama sio 2019 pale nilipohamia kwenye XIAOMI REDMI NOTE 5 PRO, ambayo sikudumu nayo sana nikauza nika advance kwenda XIAOMI REDMI NOTE 8 nayo nikakaa nayo kwa muda hadi mwaka jana msimu ule Corona imeshika kasi April nikauza nikarudi Kwenye TECNO What a Joke! Tecno ilinishinda ilikua 1/16GB nikauza nikanunua SAMSUNG GT E1207Y duos 55K,sifa kuu ni kina redio na betri yake inakaa sana sababu hakuna matumizi ya mara kwa mara ambacho niko nacho mpaka sasa. Nikitoka hapa kama nitatoka by the way nitaenda kwa ndugu zangu XIAOMI aina gani itategemea na ipi kwa wakati huo itakutana na bajeti yangu.
Mkuu Oppo ndio simu gani, sijawahi iona
 
Simu niliyokaa nayo mda Mrefu ni Nokia 1100 miaka 6.
images (10).jpeg
 
Simu yangu ya kwanza.

1. Bird Flip phone.
Hii simu nilipewa na mzee 2007. Kipindi hiko fashion ilikuwa kuwa na simu ya kufunua.
Enzi nikiwa tozi Nyangema hii simu nilikuwa naenda nayo skonga kujizolea uspoon town japo uongozi ulikataaga wanafunzi kumiliki simu,,,siku moja kuna choko akawa ameomba aicheki cheki akadakwa nayo class. Mzee alipojua alimaindi sana ila ndio ilipoteaga kwa style hio.

2.Philips Savy
Baada ya kufeli test ya utunzaji sikupewa tena simu ingine bali likaekwa TTCL phone home.
Nilikuwa kinyonge nikaona sio kweli acha tu nipambane ninunue simu ingine. Nikajimeki nikaokota simu jengine kwa mchizi nahisi aliiokota mahali nikampa 10K. Hili simu lilikuwa kama tofali kmmmk.😂😂😂 halina burudani yeyote sms mwisho maneno 30! Sikuwahi kutimba nalo skonga lilikuwa mali ya geto. Sikumbuki hata iliishiaga wapi hii simu maana ilikuwa bonge la kero.

3.Samsung slide 2G Colorscreen.
Hii simu niliinunua kwa mwana kipindi niko uboyzini. Baada ya kuua 4 nikawa nasukuma nayo maisha kitaani. Enzi hizo site yetu ya kutamba ni Waptrick.com. Simu ilikuwa sumbufu sana upande wa battery 😂😂😂! Ilikuwa ili nitumie kwa raha niwe home, nikitembea na simu haimalizi masaa matatu ishazima chaji na hapo sijaichezea. Nakumbuka Ilikuwa na kioo clear sana na sauti nzuri.

Kipindi hiko hata Tigo 3G bado huku voda wakiuza 500MB ghali kinyama sababu ndio walikuwa wame introduce 3G.

3.LG 3G Slide Slim.
Hii simu ilikuwa kali sana. Niliishi nayo toka kwa sister. Alinibless nayo baada ya kuona mdogo wake niko kinyonge sana. By that time alikua chuo. Ila pia haikudumu sana ilikuja kuzinguaga battery nayo ilivimba ikawa inazima zima. Ilukufaga speaker pia. Sikumbuki iliishiaga wapi hii simu.

4.Chinese phone tochi
Hii ilikuwaga backup phone yangu,alinipaga bro wangu. Kipindi naenda kuanza life la chuo. Nikaishi nayo, haikuwa mbaya maana ina mziki freshi na mem.card. atleast mwaka mzima.

5.Nokia C3
Hii simu ilikuwa ya pekee niliipenda sana na muundo kama wa blackberry na kubwa zaidi ilikuwa ina whatsapp. Sikuwahi itumia na nilikuwa na kiu nayo sana kuijua inafanyaje kazi. Nikamuomba sister anipe maana alikuwa nayo 😂! Alinipia hii simu japo kwa kulalamika maana nae aliipenda sana nikaenda nayo chuo kuanza next year. Ilikua kama gundu maana sikumaliza nayo mwezi chuo nikatapeliwa na wale jamaa wanaotembea tembea mabarabarani. Walinipiga simu ya 4 na hii ya 5 kwa mpigo. Nikawa sina simu kabisa 😂😂😂 back to square 1!

6. Nokia torch
Hii nilinunua kwa wahuni flani kama rebound 😂! Ilinisogeza sogeza kwa muda kidogo nikiwa nameki nikamate my first android phone maana ndio zilikuwa zimeanza kuteka soko hasa revolution ya mitandao ya kijamii ilipofikia kwenye peak.

Itaendelea....
 
7. Nokia X2
Hii simu alikuwa nayo mwanangu wa damu. Wote tulikutana machizi mziki. Nakumbuka tulinunua earphones kali za TDK tukawa na playlist zetu za ngoma kali. Ilikuwa inapiga mziki hakuna hakuna mfano. Katikati ya semister niliamua kuinunua kwake ili niendelee kula nayo maisha. Yeye alinunua HTC ndio zilikuwa zimeanza kutamba sokoni. Mwisho wa semister tushaua papers shemeji yangu mmoja aliniazima simu abebee files akaprint stationery kufika stationery akaisahau counter nadhani kulikuwa na purukushani sana. Kuja kurudi tena ikabaki story tu simu ikawa ishaibiwa😂.

8.Tecno N3
Hii simu ndio ilikuwa my first android phone😂 and was a dream to have 1! Kuna kasimu kaliitwa Google Ideos ndio kalini inspire sana huku Samsung wakifyatua Galaxy S, S2, Kule Sony Xperia X10, X12 (Arc) ilikuwa ni vita. Android ilinivutia sana kwa kweli. Niliishi na hio Tecno nikajifunza mengi kuhusu android. Nilikaa nayo kama Mwaka mzima nikauza.

9. HTC Desire C (Beats by Dre)
Hii simu aliniuzia cousin sister. Yeye aliagiza simu nyingine. What i liked from this phone was ability to play music very briliantly. Hii simu ilikuwa inagonga mziki balaa. Pia haikuwa sumbufu sana kwenye charge endurance.
Nilikujaga kumpa bro wangu alienipa simu ya kuanzia maisha chuo.

9. Samsung Galaxy infuse 4G
Hii ilikuwa simu ya kwanza ya Samsung kuwekewa 4G capability. Niliipenda sana hii simu nakumbuka niliinunua kwa cousin sister tena. It had a very powerful camera and greater storage. Ilikuwa na 32Gigs of internal storage. Nilichukua end of Semester ili nikainjoy nayo likizo but what happened. Siku ya kwanza nafika nayo home nilitaka nifanye plugin kwenye subwoofer ili nianze kula ngoma waya moja ikawa wrongly assembled namie kwa papara sikuangalia nilitaka nile mdundo. Ilipiga shoti on the spot ikawa ndio mwisho wa simu hio. Niliumia sana nikaipeleka kariakoo ila hakukuwa na mtaalam kwa kipindi kile wa kuondoa shoti.

10. HTC Sense
Hii nilinunua new semester but haikuwa nzuri sana😂😂😂 upande wa charge. The worst HTC phone to ever had.

11.Micromax Canvas
Hii simu nililetewa na beby wangu. Ilikuwa nzuri kimuonekano. Too bad niliidondosha kwenye dala dala. It really sucked.

12. Sony Xperia Z1
Sony was a dream and finally ili come true. Sikukaa nayo sana hii simu nikaiuza sababu ilitoka Z2. I wanted a Z2 so bad sababu ilikuwa more refined.

13. Sony Xperia
This 2nd Sony xperia nilinunua kwa mwana alinivalisha kama bond akachukua hela na kuniachia kimeo. Simu ilispend mda mwingi kwenye charge kuliko kwenye matumizi.

14.Itel Smartphone
Hii nilinunua nikiwa Mbeya kikazi. Ilikuwa bomba sana kiukubwa shape namuonekano ila nilikuja uza it had dead pixels on some photos.

15. Oppo Neo
The best Oppo and the first on the game. Niliipenda sana Camera na storage capacity ya hii simu. Ilikuwa bomba mno. Ilikuja ibiwa kwenye kibanda cha Mpesa. Niliisahau counter af kulikuwa na nyomi.

16.Sony Xperia C3
My 3rd Xperia phone. This was excellent when it came to power endurance. Kali sana but the drawback was low internal memory was limited to 8GB only.

17. Itel smart
Kasimu kadogo ila kanamuonekano mzuri. Poor battery. Low storage capacity. Poor camera. Basically a backup phone.

18. Micromax 4G
Hii mamsap alinipa zawadi. Simu iko poa kiasi, low storage, poor camera and memory. Natumia for browsing sababu ina battery zuri. Naitumia on par with simu ya 17.
 
Hongera mkuu,umetumia simu nyingi na graf yako ilikua inapanda na kushuka,hizo Micromax bila shaka ni muhindi anatengeneza?
 
Extrovert umefanya uchambuzi mzuri sana kwenye simu zako,mimi nimefupisha ili nisichoshe wasomaji,simu nilizotaja ni chache ila nimetumia simu nyingi sana,kasoro iPhones tu
 
Nilianzia Phillips, kisha nokia 3310 halafu nokia 6 botton maarufu enzi hizo, nikaibukia motorola L6, nikarudi nokia 6230i vintage then nokia N80, nikahamia blackberry kipindi hicho BBM ni maarufu sana, ilipoingia whatsap nikahamia sumsung, nikianzia S3, S5, nikahamia J series, nikaishia J7 nikaamua kuhamia ios, nikianzia iphone 5SE, nimekuwa nikipanda nazo hadi sasa nipo na mini iphone 12 na sumsung A70 sijawahi kujutia kuzitumia, nyingine hadi leo zipo nimezihifadhi zinafanya kazi! Ila Phillips niliipenda sana aisee
Nije PM tuongee biashara hiyo j7 mkuu. Nimuachie dogo hapa home.
 
Camera na charge havijaleta matatizo ? Mi niliinunua 2017 ila kufika Nov.2020 nai charge saa 8 natumia saa 3 nikamzawadia mtu ila ni nzuri
Hahaaaa kwenye kuichaji ndiyo balaa huwa nailaza kwenye chaji asubuhi naitumia mpaka itakapoamua kuzima.
 
Nilianza na PHILLIPS moja kubwa sana silikumbuki aina gani hii ilikua ya nyumbani hadi mwaka 2007 nilipobahatika kuwa na simu binafsi ambayyo nilipewa na dada yangu nakumbuka ilikua SIEMENS ina kimtambo kama kieria hivi unakivuta juu, hii ilikua swafi sana inatuma sms na ilikua na infrared pia bahati mbaya ikadondokea kwenye maji wakati huo nipo Mbeya nikampelekea Fundi mmoja maarufu maeneo ya Soweto barabara ya moon dust akijiita Shololo.com haikupona kamwe. Baada ya hapo nikahamia kwenye kinokia cha kufunua hiki hakikudumu nikakilalia kikavunjika katikati spea kupata ikashindikana niliambiwa mkanda umekuwaje sijui sikumbuki. Nikapata kinokia kingine jeneza kilikua, toka hapo nikabadili badili nokia baadhi sikumbuki sana mpaka mwaka 2010 nikafanikiwa kununua kwa mtu G-TIDE ya ku slide aiseh hapa nilitamba sana kwa maana ilikua na radio,memory card na bluetooth pamoja na GPRS isivyo bahati haikudumu sana kama ada nikaiharibu mkanda nililalia pia usiku haikupona pia. Kutoka hapo nikarudi kwenye nokia kitochi nikacheza sana game la nyoka mpaka 2011-2012 nadhani nikafanikiwa kupata Motorola L6 kama sikosei ya kufunua zile zilionekana sana kwenye Prison break season za mwanzo, hii MOTO ilikua kila kitu kwa wakati huo kwa maana ilikua na Bluetooth, GPRS naingia online waptrick.com na site kama myspace.com kusaka wachumba wazungu fb nakadhalika nakadhalika. Hii Moto ilikua na uwezo mkubwa kiasi kwamba nilikua naweza ku connect na Dell langu latitude D620 nikapata internet safi usiku nikakesha. Kama ada nayo usiku nikailalia ikakatika kati, ndugu yangu mmoja akaja kuniazima Samsung AT&T hii ilikua unai slide juu ndio unaona buttons zake na hapo juu ilikua kioo tupu nikaiharibu kwa kuidondoshea kwenye maji ikaisha habari yake na kurudi kwenye Nokia kitochi. Mwaka 2012-2013 nikajichanga nikanunua Nokia X2-02 Double line MPYA Dukani Morogoro hii ilikua full boxed. Hii ilinifanya nikeshe Fb na site zingine kwa maana ilikua na uwezo mkubwa zaidi ya Simu zote nilizowahi kutumia mpaka wakati huo baadaye nikaja kumuuzia Msukuma mmoja mara mbili ya bei niliyonunulia na kuhamia kwenye Ulimwengu wa Tecno kwa maana wakati huo Whatsapp imeshika kasi nikaona nisipitwe nayo kama BBM ya Blackberry ilivyonipita. Tecno nimetumia karibia herufi zote za Alphabeti kuanzia sijui N mara P zilikua nyingi kwakweli. Nimedumu kwenye matoleo mbalimbali ya TECNO mpaka mwaka 2015 nilipobahatika kununua simu ya gharama kubwa Samsung Galaxy Note 3. Hii niliuziwa na jamaa mmoja alitoka China nikampa 490k iliniuma mno lakini ndio nikawa nimenunua. Huu Mtambo ulikua 2 ama 3gb kwa 32GB na ulikua unapiga kazi sana hadi mwaka 2016 Nilipobahatika kumuuzia Ndugu yangu mmoja kwa 550k ambapo nilipiga faida tena bahati ilikua upande wangu. Nikanunua OPPO moja 3/32GB haikudumu sana nikauza pia. Kutoka hapo nikahamia kwa INFINIX NOTE 2,3 na X5 kama sikosei hadi mwaka 2018 kama sio 2019 pale nilipohamia kwenye XIAOMI REDMI NOTE 5 PRO, ambayo sikudumu nayo sana nikauza nika advance kwenda XIAOMI REDMI NOTE 8 nayo nikakaa nayo kwa muda hadi mwaka jana msimu ule Corona imeshika kasi April nikauza nikarudi Kwenye TECNO What a Joke! Tecno ilinishinda ilikua 1/16GB nikauza nikanunua SAMSUNG GT E1207Y duos 55K,sifa kuu ni kina redio na betri yake inakaa sana sababu hakuna matumizi ya mara kwa mara ambacho niko nacho mpaka sasa. Nikitoka hapa kama nitatoka by the way nitaenda kwa ndugu zangu XIAOMI aina gani itategemea na ipi kwa wakati huo itakutana na bajeti yangu.
👏👏 Sidhani kama kuna mtu hajacheza game la nyoka,kama hajacheza bas kaanza kutumia simu juzi
 
Back
Top Bottom