Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

Bora bana. Ubungo pamekaa kushoto sana. Sasa hivi watu wa Goba, Kinyerezi, Segerea, Gmboto, Tandika, nk watapata ahueni kwa kuwa Mbezi panafikika kirahisi kuliko Ubungo.
 
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.

Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!

Movie nyingine inaelekea kuanza...
 
Acheni propaganda kwa kuandika habari kinafiki!!!Najua huko clouds ulipoitoa na hapa ulivyoleta ni vitu viwili tofauti!
 
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.

Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Utakufa na kijiriba shingoni.

Maendeleo hayana chama.
 
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa
ya ubungo. Ingependeza zaidi kuliko kutaja Chama.
 
Utasababisha watu wachomoke maofisini waende kuzindua ujenzi ili kupingana na hiyo kauli ya kusema kituo kimejengwa na Halmashauri
Magogoni kutafungwa sasa hivi na msafara wote na maaskofu uchwara na mashehekhe fwki watashinda huko.
 
Wale wa "kituo cha mabasi kitamsaidia nini bibi yangu kijijini" huwezi kuwaona hapa.
 
Wakati huohuo huko upande wa pili!
-%20kipanya.jpeg
 
Back
Top Bottom