Hatimaye uchunguzi waanza wa ile sumu toka kuleee

waziri wa mambo ya ndani kasema hata kama wakipata ukweli hawatatoa taarifa hadharani.SASA KWA NINI WANAFUJA FEDHA ZA WANANCHI KUCHUNGUZA KITU AMBACHO HAKITATOA FAIDA KWA JAMII,kwani hata wakipata ukweli hawatachukua hatua zozote.TENA mbona wziri alisema kama mh SITA kama ana ushahidi autoe.hata wiki haijaisha wanafanya uchunguzi kwani wataanzia wapi wakati hawana data zozote,huu ni usanii tu.taarifa wanazo.

Mkuu usiogope kauli ya nahodha hapa ni JF watu watarusha report yote page ya kwanza hadi ya mwisho,we subiri tu
 
Hatimaye serikali imeanza kale ka uchunguzi makini kuhusu
kale kasumu kaliko wekwa mkononi na kushikishwa mh mwaki
na kuanza kuto cement mwilini.
Tusubiri tupate more details from the source.

Hivi kwenye timu ya uchunguzi yupo Mtu yeyote aliye na mahusiano mazuri na Lowassa na Rostam. nataka nitabiri matokeo
 
Mwakyembe.jpg

Mwakyembe2.jpg

Mwakyembe3.jpg
alaaniwe aliemwekea sumu mpiganaji wetu...mungu akuponye comrade...aluta continua...
 
we subiri watoe ripoti yao feki ya kinafiki halafu mi najua tu kuwa humu jf tutapenyezewa original hapo ndipo watakapoumbuka
 
Lowassa ataumbuka mwaka huu

angalia ulivokuwa na akili finyu..sasa Lowassa anahusika vipi katika hilo suala? Muacheni mzee wa watu apumzike bana...Kila kitu Lowassa..Mwakyembe ana kiherehere sana ndo maana wamemkomesha akaae chini sasa na ganda la muwa ajikune huo ukurutu
 
Ni wakati sasa wa Mwakyembe kutuambia aliyotuficha ili serikali iliyobaki iporomoke. Aliowalinda ndiyo waliyomwekea sumu ili afe kupoteza ushahidi.
Kama wamethubutu kutaka kutoa uhai wako unawalinda wa nini? Ukifanya mchezo watakumaliza maana nasikia mwishoni mwa February unarejea tena Appolo. Dr. watu hao si mafisadi ni magaidi! Mwaga Dr. tuwatimulie mbali wauaji wakubwa.
Mungu kama yuko hai awalaani wao wenyewe, watoto wao,wajuu wao na vitukuu vyao! Mishetani na miuaji mikubwa!
 
angalia ulivokuwa na akili finyu..sasa Lowassa anahusika vipi katika hilo suala? Muacheni mzee wa watu apumzike bana...Kila kitu Lowassa..Mwakyembe ana kiherehere sana ndo maana wamemkomesha akaae chini sasa na ganda la muwa ajikune huo ukurutu

we kweli bwana chezo,nimesoma ripot ya mwakyembe na ninayo wahusika wakuu wa huo mpango waliotajwa wazi wazi ni wawili lowassa na mwema wenzao wengine tutawajua baada ya uchunguzi ufinyu wa akili yangu ni nn? NIMEJIFUNZA HV KUTOKA KWAKO KUWA UKIONA M2 ANAKWEPA KUJIBU HOJA NA ANAFANYA PERSONAL ATTACK UJUE AMESHINDWA KWENYE HOJA!
 
hivi kuna dili gani appolo hospital maana kila mgonjwa wa serikali appolo kwanini mlioko india hebu tupeni data maana huenda kukawa na kamradi
 
Jamani huyo dr huko india anawaamini?hao mafisadi ni hatari kwani waliwahi kuwakodi wale wazee wasomalia ili wammalize,huko kuna usalama?tumwombe mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom