Hatimaye tutauona uwezo wa "TANZAID" kukabiliana na madhara ya Kimbunga Kenneth

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
GOD FORBID..

Zile mbwembwe za ooooh, sisi ni dona kantre hatimaye zinaenda kuwa tested hata kabla ya mwaka kupita...

Tunasubiri kuona sasa uwezo na mbwembwe za Waziri Kabudi na kile kilichoitwa "Tanzaid" kupambana na Kimbunga Kenneth kinachotarajiwa kupiga mikoa ya kusini - tusiambiwe eti "hamkunichagua ili nilete Kimbunga"
Screenshot_2019-04-24-22-27-51-1.png
 
GOD FORBID..

Zile mbwembwe za ooooh, sisi ni dona kantre hatimaye zinaenda kuwa tested hata kabla ya mwaka kupita...

Tunasubiri kuona sasa uwezo na mbwembwe za Waziri Kabudi na kile kilichoitwa "Tanzaid" kupambana na Kimbunga Kenneth kinachotarajiwa kupiga mikoa ya kusini - tusiambiwe eti "hamkunichagua ili nilete Kimbunga"View attachment 1080230
Ee Mungu Baba kupitia jina la Kristo Yesu kikombe hiki tunaomba kituepuke.
 
Serikali ya awamu ya tano kupitia ofisi ya waziri mkuu wako tayari muda na wakati wowote kukabiliana na kuzuia majanga.
 
GOD FORBID..

Zile mbwembwe za ooooh, sisi ni dona kantre hatimaye zinaenda kuwa tested hata kabla ya mwaka kupita...

Tunasubiri kuona sasa uwezo na mbwembwe za Waziri Kabudi na kile kilichoitwa "Tanzaid" kupambana na Kimbunga Kenneth kinachotarajiwa kupiga mikoa ya kusini - tusiambiwe eti "hamkunichagua ili nilete Kimbunga"View attachment 1080230
 
Wewe unaeshabikia hicho kimbunga jua watakao umia ni ndugu zetu, watanzania wenzetu, jamaa zetu,
sasa hapo huo udonor unaingia vp badala ya kuwaombea hawa ndugu zetu kimbunga hiki kipite salama.Acha utumwa wa kifikra kila kitu unaingiza siasa.
Mi nimeacha mdomo wazi kuona muanzisha thread alivo shikiwa akili.

Furaha kwake kimbunga kilete athari aone serikali inashindw kupeleka msaada ili aje kufungua uzi mwengine.

Watu hawa ni msiba kwa taifa.

Maafa kwake ni mashindano baina ya serikali na upinzani.

Watu wana roho mbaya! Yaani haawataki kuona serikali hii ikiwa na uwezo wa chochote.
 
Mkuu acha ushabiki kwenye maisha ya watu, tuombe Mungu aepushe kisifike sio kuomba kije ili kikomoe serikali, wakati wahanga wakubwa watakuwa raia wa kawaida.
 
Mi nimeacha mdomo wazi kuona muanzisha thread alivo shikiwa akili.

Furaha kwake kimbunga kilete athari aone serikali inashindw kupeleka msaada ili aje kufungua uzi mwengine.

Watu hawa ni msiba kwa taifa.

Maafa kwake ni mashindano baina ya serikali na upinzani.

Watu wana roho mbaya! Yaani haawataki kuona serikali hii ikiwa na uwezo wa chochote.
swaswa huyo mwache
 
Back
Top Bottom