Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.

Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!

Oneni wenyewe
View attachment 1439624

Hujui unachokiongea. Mambo ya sayansi waachie wanasayansi. Kama uchonsema ni kweli kwamba hadi sasa tumepima samples 562 tu; na kwa kuwa hadi sasa tuna confirmed cases 480 tulizo ripoti WHO, ina maana kati ya hizo samples 562 asilimia 85.4% zili test positive! Ni zuzu tu ndiyo anaweza kukusikiliza.
 
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.

Hii ni hatari sana yaani kati ya watu 652, watu 480 ni positive sawa na 73.6%. Hii inaacha ulizo kubwa sana, je, mtaani pakoje? US wanapima watu 30,000 kila siku na wanaokutwa positive ni 4,000 hadi 5,000 ambayo ni sawa na asilimia kati ya 13.3 hadi 16.6.

So, hapa serikali inatuambia inabana sana maambukizi, ingawa kiuhalisia kwa 73.6% kwa watu wote waliojitokeza kupima ni kubwa. Mtu aweza hitimisha kuwa serikali imebana sana maambukizi na inajua vema watu wenye dalili. Ila hitimisho lingine linaweza kuwa mtaani hali ni mbaya, huenda kuna watu wenye mild symptoms ambao hawajaugua hata kufikia kwenda hospitali.
 
Hujui unachokiongea. Mambo ya sayansi waachie wanasayansi. Kama uchonsema ni kweli kwamba hadi sasa tumepima samples 562 tu; na kwa kuwa hadi sasa tuna confirmed cases 480 tulizo ripoti WHO, ina maana kati ya hizo samples 562 asilimia 85.4% zili test positive! Ni zuzu tu ndiyo anaweza kukusikiliza.

Duh aliyetoa hizi data kama ni kweli abarikiwe sana, kama ni za kupika basi ajihoji sana aliwazaje?

Ama niwapongeze tu watoa data maana wanajaribu kutoa ujumbe kwa wenye kutafakari ama kuangalia jambo kwa macho matatu!
 
Kazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
Hivi unaelewa methodology inayotumiwa kupima Covid-19? Unadhani kupimwa joto la mwili ndio kupima uwepo wa SARS-CoV-2 mwilini? Nyinyi hapo kazini kwenu mna rapid test kits za kupima SARS-CoV-2 zinazoweza kupima watu 1000? Wakati mwingine kabla ya kukurupuka kujibu hoja jipe muda ujitafakari je hoja yako unayoitoa kama jibu ni goigoi au la.
 
Dahh...
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.

Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!

Oneni wenyewe
View attachment 1439624

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona tumeambiwa mashine tuliyonayo inauwezo wa kupima watu 500 kwa siku au siku zote hizo tulikuwa tunapima mbuzi mafenesi na mapapai


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hama nchi, sisi tunapima wenye signs na symptoms za ugonjwa pekee, vipimo vyenyewe feki hivyo kumbe ndo maana vibaraka walikuwa wanapigia mayowe mass testing ili kuwatia taharuki watu as walishaelezwa na mabwana zao kwamba wametuletea vifaa feki, Magufuli kawaumbua.
Ila vifo vipo pale pale, ni juzi tu wameacha kuzika usiku wa manane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau someni mazingira msikimbile kuandika namba bila kuzitafsiri katika mazingira husika ya kuchukuliwa vipimo.

Hiyo ni kama sakata la waliopima DNA kutambua baba wa mtoto, asilimia kubwa nadhani 40 na kitu walikutwa ni watoto wa kubambikiwa baba husika, hii ilitokana na waliojitokeza kupima ni wale tu ambao tayari kulikuwa na migogoro ya ndoa na kukosa uaminifu.
Kama wangepimwa watu randomly takwimu zingekuwa tofauti, idadi ya waliobambikiwa ingekuwa chini sana.

Vivyo hivyo wengi wa walio pimwa COVID-19 ni wale walio onesha dalili na wale waliokutana na waliokutwa na ugonjwa, kwahivyo ni lazima ionekane waliokuwa na ugonjwa kati ya waliopimwa wote ni wengi sana.
Hata hivyo 600 ni watu wachache sana, bado mizaha ni mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wakishapimwa huwa wanapewa nni wailoambukizwa? Hapo ni kujisifu ujinga tu,
Unampima mtu unamkuta ana ugonjwa na alikuwa mzima kisha humtibu unamwambia hakuna dawa anapata hofu anakufa sasa nani muuaji kama sio wewe uliyempima
Ukiona hivyo unachukua measures asiambukize wengine. Hiyo ndio essence ya mass testing.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa acha uongo basi, kama unasema wapepimwa 652 kati yao 480 ni wagonjwa si karibia kila nyumba tungezika watu 2 hadi 3.

Hizi siasa za kishamba hizi zitawaua. Haiwezekani nchi mpaka leo ipime watu 652 kisha 480 wawe wagonjwa
Hizo ni taarifa za CDC, wanazitoa wizara ya afya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua kuwa Tanzania hakuna vifaa vya kutosha kupima corona, hata hizo michango sijui ni za nini

ujanja ni mwingi sana huko maabara wanapopima corona, hii nchi ina laana sio bure kabisa
Uko sahihi mkuu. Like father like son. Baba akishakua msanii, muongo, mwizi tegemea na walioko chini yake watafanya ayafanyayo. Kwa taarifa yenu akili zetu ziko kwenye SGR,STIGLERS basi . corona itajijua yenyewe
 
Back
Top Bottom