Hatimaye Taifa Star yashinda 2-0

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Hatimaye timu yetu ya TAifa (Taifa stars) yaishinda Kenya 2-0 lakini kiwango cha vijana wa Maksimo wana kiwango au Fluke
 
aaaagh, ni sawa na mgonjwa wa ukimwi kufanikiwa kumeza cofta hastahili kupigiwa makofi.
tulipohitaji ushindi katika mechi zidi ya msumbiji waliluka luka tu matokeo yake wakatiwa aibu hapa hapa kwao, sasa leo kwenye kombe la mbuzi eti wanajishaua kwa lipi haswa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom