Hatimaye Subhash Patel amvaa Mengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Subhash Patel amvaa Mengi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DIKTETA, May 1, 2009.

 1. D

  DIKTETA Member

  #1
  May 1, 2009
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana tarehe 30 april Ndg Subhash Patel kupitia kwa wakili wake Julius Lugazya kawafungulia kesi wahariri na magazeti yao ya nipashe na guardian,wakurugenzi wa radio uhuru na ITV pamoja na mwenyekiti wao Mengi kwa kashfa za kumuita fisadi papa na kudai alipata mchuchuma kwa mizengwe.Anawataka waombe radhi ndani ya siku saba na wamlipe fidia ya shs bilioni kumi
   
 2. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mengi alijiandaa kuongea yale aliyoyasema, sio kuwa aliropoka tu. Hivyo huyu fisadi papa ni bora aende mahakamani au akae kimya kukubali tuhuma sio kuomba aombwe radhi. Hii ni ajabu kweli, yaani umetuhumiwa na kukashifiwa, then unamuomba mtu akuombe radhi?
   
 3. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Don't you wish you could have an opportunity to punch one of mafisadi ? Unamtandika moja barabara, wao si wanaendaga kutibiwa nje? Atapona tu.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 1, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  i love this.. finally wanatupa kitu cha kufanya maana maneno yamekuwa mengi kweli (pun intended).
   
 5. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mchezo unaelekea kuwa mtamu sasa...hebu tukae mkao wa kula, tushuhudie yatayojiri! I hope masaa 48 ya RA aliyompa Mengi yamepita,nini kitafuata???...
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli, labda sasa tutaanza kuona episode mpya kwenye hii sinema
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,194
  Trophy Points: 280
  Huyu ndiye aliyekuwa mweka hazina wa kamati ya mtandao wakati wa kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa CCM yeye ndiye alikuwa anakusanya na kusambaza mabilioni yaliyotumika katika kuhonga wajumbe ili kununua kura za kumbeba jamaa ili aingie IKULU.
   
 8. D

  DIKTETA Member

  #8
  May 1, 2009
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No no no no no hapana huyu bwana hajapata kuwa mweka hazina wa mtandao hata siku moja ila ni rafiki mkubwa wa tangu utotoni wa muungwana.
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,317
  Likes Received: 5,610
  Trophy Points: 280
  Huyu ndiye mfadhili mkuu wa biashara za JK....anasimamia ujenzi wa kijiji chake huko msoga hill ......ni mtu wake saaaanaa.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,335
  Likes Received: 1,797
  Trophy Points: 280
  Duuh! Mchuchuma ya toka enzi zile inatua kwa mtu mmoja kimtindo.Tutaona yote mwaka huu
   
 11. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Halafu watanzania wengine wanasema Mengi alichemsha...hii ni "serious game"..so don't hate the player..
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa inaonekana hawana pa kuchomokea na ni wagumu kweli wa kuelewa Mengi alishasema kuwa kama wanaona kuwa wamesingiziwa basi waende mahakamani na sio kumwomba Mengi awaombe msamaha
  na lazima wawe wanaogopa kwenda mahakamani kwani kufungo njenje kwani kibao kitawageukia tu
   
 13. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Vitisho vya kwenda mahakamani mbona tulisha vizoea?
  Ingekuwa kutishia kwenda mahakamni ndo kwenda Dr. Slaa alivo wasanula Mwembe yanga angeisha ozea keko! but waaaapi bwana? yupo anapeta na kuendeleza libeneke kama kawa,

  Kwahiyo hata kwa Mengi wata tisha weee... tunataka waende waache makelele na waende.
   
 14. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Subash... ndio aliemjengea JK hekalu la pale bagamoyo... ni mshkaji wake walisoma wote primary...
   
 15. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ushkaji gani wa kujengeana mahekalu?? sometime inachosha..
  a favour for a favour..subash mchafu hio sio siri..haendi mahakamani huyo.
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Subhash Patel nadhani si sahihi awe kwenye chungu cha mapapa. Namfahamu huyu bwana kwa miaka mingi kama mhangaikaji/mjasiriamali asiyecheza faulo.
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mengi ameisha ,atawajua kama ni mabohora au ni mabaniani ,afu wacheni kumtomeza Mengi na kumshangilia ,sasa joto analiona peke yake hata CCM wamemtenga.
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,600
  Trophy Points: 280
  Mzee Mengi anazungumza kwa 'metaphor' amewataja mafisadi papa ambao ni dam dam na JK, kwa lugha nyingine Mengi amemtaja JK kama mlinzi wa mafisadi papa,
  aminini msiamini, this time kibao kinamgeukia Mengi, lets wait and see.
  Japo Mengi ni Mafia, mapapa ni mamafia na JK nyuma yao!.
   
 19. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Subhash ni family friend wa Salma na Mrisho.

  [​IMG]
   
 20. N

  Nibo Member

  #20
  May 2, 2009
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie hasira zinanipanda sana kuona hawa mafisadi papa wa kiasia wanakoroma ndani ya nchi yetu....yaaani..wee acha tu....Hawa jamaa hata Idd Amini aliona kwamba wanadhoofisha uchumi wa nchi yake na kuamua kuwafukuzia mbali....tatizo lao wakichuma nchini kwa ufisadi ..wanahamishia mali zao nje ya nchi...wala nchi haifaidiki na mali zao.....wananiudhi......
   
Loading...