Hatimaye spika wa bunge apokea barua za kujiuzulu kwao na kuridhia

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Spika wa Bunge Job Ngugai amepokea Barua za wabunge wawili, waliokuwa viongozi wa kamati moja wapo za Bunge.

Waliopeleka Barua za kujiuzulu nafasi zao za uongozi wa kamati ni Dkt Dalali Kafumu na Vick Kamata ambao walikuwa viongozi wa kamati.

...
Dkt Kafumu alikuwa M/kiti wa kamati na Vick Kamata alikuwa Makamu.

Hayo yanatokea ikiwa zimepita takribani wiki moja tangu Rais Magufuli kushangazwa na kile alichosema kusudio la kwenda kumwona Lema Gerezani.
 
Mi nimefungua kwa nguvu nilidhani wamejiudhuru ubunge..khaa..hizo kamati siku hizi hazina pesa..iñgekuwa enzi zile ungesikia mara wapo Brazil, mara China, uholanzi, mara Sweden eti kuangalia viwanda na kujifunza teknolojia za wenzetu huku wakila posho tu...sasa hivi wanajidai hakuna ushirikiano..aibu kweli
 
Bila kusahau na RUSHWA Kutoka kwa WAKURUGENZI na WENYEVITI wa BODI YA MASHIRIKA YA UMMA
 
Safi sana Kafumu na Kamata, Ni kheri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti. kheri yenu mmeikataa dhambi ya ubaguzi ambayo hata vitabu vitakatifu vinaikataa na imelaaniwa.
 
Spika wa Bunge Job Ngugai amepokea Barua za wabunge wawili, waliokuwa viongozi wa kamati moja wapo za Bunge.

Waliopeleka Barua za kujiuzulu nafasi zao za uongozi wa kamati ni Dkt Dalali Kafumu na Vick Kamata ambao walikuwa viongozi wa kamati.

...
Dkt Kafumu alikuwa M/kiti wa kamati na Vick Kamata alikuwa Makamu.

Hayo yanatokea ikiwa zimepita takribani wiki moja tangu Rais Magufuli kushangazwa na kile alichosema kusudio la kwenda kumwona Lema Gerezani.
Wewe naendo mkiitwa wachochezi mnaaza kujiuma uma.Wenyewe wameongea vingine na wewe unatuletea habari nyngine . Kama huwezi fuata mtu alvyo jieleza bona ukaacha.
 
Mi nimefungua kwa nguvu nilidhani wamejiudhuru ubunge..khaa..hizo kamati siku hizi hazina pesa..iñgekuwa enzi zile ungesikia mara wapo Brazil, mara China, uholanzi, mara Sweden eti kuangalia viwanda na kujifunza teknolojia za wenzetu huku wakila posho tu...sasa hivi wanajidai hakuna ushirikiano..aibu kweli
Kujiuzuru nadhani sio kujiudhuru! akiandika mtu kingereza mnaponda eti ameandika broken sasa, mbona lugha mnaipodoa?
 
Safi sana Kafumu na Kamata, Ni kheri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti. kheri yenu mmeikataa dhambi ya ubaguzi ambayo hata vitabu vitakatifu vinaikataa na imelaaniwa.
Wangejiudhulu ubunge ningewasifu.Kaa,uenyekiti wa kamati.Mwee.
 
Wanafki wakubwa, mie nikajua wameachia na ubunge kumbe tuvyeo ambavyo havina effect yeyote!
Kama kweli wanapigania uhuru wao wajiuzulu fasta, hapa wamefanya usanii!
 
Back
Top Bottom