Hatimaye Simba imefanikiwa kumsajili kiungo funding wa kabumbu, Peter Banda kutoka timu ya Nyasa Big Bullet

Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi kukamilisha dili hilo.

Source ni mimi mwenyeNyoooooooooo
Tunajamboooletuu KESHOO
UJETENA EEH NA STORY ZA ALINACHA
 
Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi kukamilisha dili hilo.

Source ni mimi mwenyewe.
Kwa hiyo wewe ni Hans Pope siyo! Na ole wako ionekane umewadanganya mbumbumbu wenzako. Utakiona cha mtema kuni.
 
Naskia utopolo wamefanya umafia wamepita nae
Utopolo wametufanyia umafia kwa Khalid Aucho ambae alitakiwa kuja kutengeneza pacha na Lwanga. Sasa sipati picha kiungo chao kikiwa na Mukoko, Aucho na Feisali. Mwenzenu ninaogopa sana, utopolo wanatumaliza jamani
 
Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi kukamilisha dili hilo.

Source ni mimi mwenyewe.
Chai nusu, kweli nusu. Sawa
 
Back
Top Bottom