Tetesi: Hatimaye serikali yalipa allowance kwa walimu

Kama ni wakuu tuu,basi molari na kufelisha zaidi kuna ongezeka sn.
Wapewe wote
 
Ni kweli na ela zimelipwa tangu alhamisi
Lazima kuwepo na nidhamu mbele ya mkuu wako,lazima ukubali huyu ni mkuu wako na unatakiwa uheshimu cheo chakebasi na mbona manager anakua na mshahara mkubwa wakati wanaofanya kazi ni watumishi wengine?au kwavile yeue ni mwalim
Kama ameamua kuwalipa wakuu wa Shule na Waratibu Elimu kata basi nao wapewe majukumu mengine yote ya kiualimu. Vipindi, Zamu.. nk. Pia natabiri kuporomoka kwa Elimu kusiko kawaida ikisababishwa na Walimu kukosa morali ya kazi. Haiwezekani mkuu wa Shule anayepumzika tu apate allowance wakati mwl wa kawaida anayesota aambulie kupigwa mikwara tu.
 
Lazima kuwepo na nidhamu mbele ya mkuu wako,lazima ukubali huyu ni mkuu wako na unatakiwa uheshimu cheo chakebasi na mbona manager anakua na mshahara mkubwa wakati wanaofanya kazi ni watumishi wengine?au kwavile yeue ni mwalim
kwani hakuna walimu wakuu humu wathibitishe taarifa hizi badala ya kuendelea kuwa tetesi
 
Hamjaelewa hiyo ni hela ya matumizi madogomadogo kwa walimu wote kama chai na vyapati vyapati, msosi wa mchana na vitu kama hivyo
 
Back
Top Bottom