OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Wewe ndio ziro hukuelewa alichouliza soma tenaKumbe hata hujui kwamba polisi wanaposho? We ziro kweli.
Wewe ndio ziro hukuelewa alichouliza soma tenaKumbe hata hujui kwamba polisi wanaposho? We ziro kweli.
NinavyojuaKwahiyo mwalimu mkuu peke yake ama walimu wote?.
Lazima kuwepo na nidhamu mbele ya mkuu wako,lazima ukubali huyu ni mkuu wako na unatakiwa uheshimu cheo chakebasi na mbona manager anakua na mshahara mkubwa wakati wanaofanya kazi ni watumishi wengine?au kwavile yeue ni mwalimNi kweli na ela zimelipwa tangu alhamisi
Kama ameamua kuwalipa wakuu wa Shule na Waratibu Elimu kata basi nao wapewe majukumu mengine yote ya kiualimu. Vipindi, Zamu.. nk. Pia natabiri kuporomoka kwa Elimu kusiko kawaida ikisababishwa na Walimu kukosa morali ya kazi. Haiwezekani mkuu wa Shule anayepumzika tu apate allowance wakati mwl wa kawaida anayesota aambulie kupigwa mikwara tu.
kwani hakuna walimu wakuu humu wathibitishe taarifa hizi badala ya kuendelea kuwa tetesiLazima kuwepo na nidhamu mbele ya mkuu wako,lazima ukubali huyu ni mkuu wako na unatakiwa uheshimu cheo chakebasi na mbona manager anakua na mshahara mkubwa wakati wanaofanya kazi ni watumishi wengine?au kwavile yeue ni mwalim
Ebu tufanye tuamini unacho senaHamjaelewa hiyo ni hela ya matumizi madogomadogo kwa walimu wote kama chai na vyapati vyapati, msosi wa mchana na vitu kama hivyo