Hatimaye serikali yakubali marekebisho ya muswada wa katiba mpya...

chadema sasa mmejua faida ya mazungumzo sio kususa tuuuuuuuuuuu na kutishia kuandamana nchi nzima.
 
Mswada upi tena? kama kurekebishwa inarekebishwa sheria, mswada ulisha sainiwa na kuwa sheria.

Marekebisho ya sheria hayazuwii sheria hiyo kutumika kama ilivyyo, mpaka hapo marekebisho yatapokwisha fanyika bungeni na kupelekewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuyasaini hayo marekebisho. Ni vitu vya kawaida kabisa na ndiyo kazi za bunge, hakuna jipya wala cha ajabu hapo.

Mpuuzi hasomesheki
 
Umesahau FF. Jk wakati anasaini alisema pamoja na kuusaini milango bado iko wazi kufanya editing. Kimsingi Jk aliusaini ule mswada ili kuwaridhisha ccm, na sasa amekubali kufanya marekebisho ili awaridhishe CDM na wananchi wa nchi hii.
 
Sijui ile mibunge ya magamba na KAFU pale mjengoni inajisikiaje! CHADEMA waelezeni wananchi kwa nguvu zote kilichotokea na juhudi zenu hadi kufanikisha hili. Aibu kwa CCM na wabunge wao, Spika, waziri husika, na Mwanasheria Mkuu.

kumbe Jk ni wa chadema!!!! kahamia lini? hakika siku zote najua ndiye mwenyekiti wa CCM
 
Vyovyote utakavyoeleza unazidi kumwaibisha huyo alosaini huo muswada kuwa sheria. Inaonesha ni jinsi gani asivyokuwa makini hata kwa mambo makubwa ya kitaifa. Si kila muswada anaoletewa Rais kutoka Bungeni anatakiwa kuusaini! Anayo mamlaka kikatiba kukataa baadhi ya mambo.

Haiwezekani muswada usainiwe leo halafu chini ya miezi mitatu huyo huyo aliousaini aagize urudishwe Bungeni. Bora tu unyamaze maana unamchoma hata huyo unayemtetea.

chadema walikwenda kutafuta nini Ikulu kama hawakuhitaji urudishwe bungeni? angekataa tungesema na kakubali pia tunasema.
 
Mijitu kwa taarab bana. Mlete basi huyo Pacha wako FF hapa tuwapigie Taarab zenu wenyewe.

Fisadi mkubwa, utakufa nacho Kijiba cha Roho, utazikwa nayo roho mbaya na choyo......

Kumbe Kikwete ana akili sana ukilinganisha na hiyo Midude mingine iliyobaki na kuburuzwa kama ........

Sasa naelewa kwa nini aliweka sahihi ili kuirisha mi Empty Head. Ila akaona ni wapi ataipiga bao la kisigino.

Go Kikwete Go. Na ubaya wako wote, jiwekee kumbukumbu kuwa ni RAIS ALIYELETA KATIBA YA TANZANIA bila kumwaga damu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA......

Hakuna tofauti na maalim seif kupewa makamu wa kwanza..

naona mmefurahi sana waambie na wanachama wenzako wawe na adabu na rais ndio watafanikiwa lakini sio kususa ok..
 
Last edited by a moderator:
Sasa chadema wakitaka wasuse kikao tena cha bunge ndio tutachua wanajua kususa

mnataka wasuse afu waliopitisha mswada 100 kwa 100 wajadili nini? You should be ashemed with your ccm/cuf MPs.
 
Mijitu kwa taarab bana. Mlete basi huyo Pacha wako FF hapa tuwapigie Taarab zenu wenyewe.

Fisadi mkubwa, utakufa nacho Kijiba cha Roho, utazikwa nayo roho mbaya na choyo......

Kumbe Kikwete ana akili sana ukilinganisha na hiyo Midude mingine iliyobaki na kuburuzwa kama ........

Sasa naelewa kwa nini aliweka sahihi ili kuirisha mi Empty Head. Ila akaona ni wapi ataipiga bao la kisigino.

Go Kikwete Go. Na ubaya wako wote, jiwekee kumbukumbu kuwa ni RAIS ALIYELETA KATIBA YA TANZANIA bila kumwaga damu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA......

Inabidi mfundishwe siasa mkuu, naona mapofu yanakutoka..tulia wafuate viongozi wako siasa ni mazungumzo siyo kususa...

Waambie wasuse tena sheria inarudi bungeni kwa mabadiliko kama hawatasimama vema kutetea hoja, zitapita za wale wenye kuipenda nchi yao si wasusaji..lol

Ufisadi ni kudai kwa nguvu kuwa mjumbe wa kamati ...au siyo?
 
Last edited by a moderator:
ningekuwa mimi ndiye Jk ningekataa mapendekezo yote ya chadema na pia ningekataa ombi lao la kuja Ikulu kwa sababu ya kejeri na majigambo. kumbe chadema mlikwenda Ikulu kutafuta mshindi mimi nilidhani mlikwenda kutafuta muafaka.
 
Jk kama unadhani ipo siku utawafurahisha chadema tembelea Jf hata kwa hili la kukubaliana nao bado wanakuona huna maana.
 
Back
Top Bottom