Hatimaye Romelu Lukaku arejea Chelsea

Abercrombie13

Member
Jul 14, 2018
65
118
Baada ya mazungumzo na tetesi nyingi kuhusu Romelu Lukaku Kurejea Darajan, Hatimaye ni rasmi sasa Lukaku is Blue. Lukaku amekuwa na kiwango bora sana toka alipoondoka ligi kuu ya Uingereza na kuhamia Serie A.

Sasa ni wakati wake kumaliza biashara yake pale darajani, kuanzia sasa hadi kandarasi itakapotamatika baada ya miaka mitano ijayo pasipo kuwa na kikwazo.

===
1628838145941.png
ROMELU LUKAKU AREJEA CHELSEA

Chelsea imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Romelu Lukaku kutokea Inter Milan kwa ada ya Paundi Millioni 97.5

Lukaku aliyeondoka Chelsea miaka 7 iliyopita amesaini mkataba wa miaka 5 na anatarajia kulipwa Paundi 212,000 kwa wiki
 
Kwa wanaojua uwezo wa Lukaku hawawezi kubeza. Alishafanya yake EPL, kwahiyo ni suala la muda tu kuonyesha kile alichokiongeza kwenye game yake. Ukiangalia Chelsea inatengeneza nafasi nyingi Bila Clinical Striker. ROMELU Atafaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom