Hatimaye ripoti ya tuhuma za rushwa ya Wabunge yatua kwa Spika

Mkuu funguka vizuri Zaidi, kwa mfano
1/Hizi ni tetesi au confirmed news?
2/Chanzo cha taarifa hii?
3/Wabunge hao ni wakina nani?
4/Ni vipi hasa hawajahusika?
Dont waste your breath! huyu mama hawezi ku act kama wahusika ni magamba! i can bet on that! lakini kama ni CDM basi subiri mashamushamu yake! she is the weakest speaker in all commonwealth parliaments! ana matatizo Psychologically, physiologically na psych-socialogically!!
 
Hiyo Report ni lazima itachakachuliwa tu ili kuwanusuru na kuwasafisha baadhi ya watuhumiwa!!!!
 
Back
Top Bottom