Hatimaye Rais Trump kaamua kumjibu Obama kimafumbo

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
.
 
Attachments

  • Trumptweet-768x323.png
    Trumptweet-768x323.png
    11.3 KB · Views: 1
Muda mfupi baada ya Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama kumtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili COVID19

kwamba mbinu anazotumia hazijasaidia chochote hivyo ni miongoni mwa wanaopaswa kulaumiwa kwa vifo vingi vilivyotokea

Trump amemjibu kwenye mtandao wa fb..OBAMAGATE!

Sasa swali hapo kamaanisha nini? Au ndio kupanic?View attachment 1446376

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye apambane na hali yake tu. Alishawahi kusema ni kwa nini Obama hakuishughulikia hii Corona wakati yuko madarakani, wakati Corona imeibuka 2019.
 
Muda mfupi baada ya Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama kumtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili COVID19

kwamba mbinu anazotumia hazijasaidia chochote hivyo ni miongoni mwa wanaopaswa kulaumiwa kwa vifo vingi vilivyotokea

Trump amemjibu kwenye mtandao wa fb..OBAMAGATE!

Sasa swali hapo kamaanisha nini? Au ndio kupanic?View attachment 1446376

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Obama weka Bill utapata maana yake

Jr
 
Gate ana deal zake pia obama yumo, ila trump anakwenda kinyume na hawa matajiri.

Bilgate ana issue yake ya vaccination, nahisi trump ana fund upatikanaje wa tiba na sio chanjo.

Kuna daktari ambaye yupo kwenye kamati ya corona usa jina limenitoka lakini ni mshikaje wa gate na wanakwaruzana sana na trump

Mfano huyo daktari alipinga matumizi ya chroloquine, wakati trump alikua tayari kuruhusu itumike.

Obama na gate kuna deal wanataka kulipiga.

yawezekana mkuu
Ndio maana jamaa anakomalia kweli kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom