Hatimaye Rais Magufuli ameiunga mkono ‘ Kauli ‘ yangu, sasa ole wake nimwone Mtu ‘ ananishobokea ‘ nikitoa maoni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Mara kwa mara GENTAMYCINE nimekuwa nikipata wakati mgumu sana tena kutoka kwa Wana CCM wenzangu hapa Jamvini JamiiForums pale nikiwa ‘ neutral ‘ katika kutoa maoni / mawazo yangu ‘ Kuntu ‘ kabisa dhidi ya Chama changu ‘ pendwa ‘ cha CCM au dhidi ya Mwenyekiti wetu Taifa na Rais wa JMT Dr. Magufuli au hata kwa baadhi ya Viongozi wake.

Nilishawahi kusema hapa hapa hii ‘ Kauli ‘ kwamba ukiona Mtu anakusema au anakuambia ‘ ukweli ‘ bila ya Kukuonea aibu / haya hata kama ni Rafiki yako au Nduguyo au vyovyote vile basi jua ya kwamba huyo ndiye Mtu ‘ pekee ‘ kabisa anayekupenda na kukutakia kheri katika maisha yako tofauti na wale ‘ Wanafiki ‘ wengi ambao wanakuficha na kujifanya wanakupenda ila siku ‘ ukianguka ‘ tu ndiyo hao hao wanaanza Kukupiga ‘ Majungu ‘ na hata ‘ Kukucheka ‘ pia.

Leo wakati akitoa ‘ nasaha ‘ zake dhidi ya Viongozi walioapishwa baada ya ‘ Kuwateua ‘ Rais Dr. Magufuli mwenyewe kwa mdomo wake alisema hii ‘ Kauli ‘ kama yangu ambayo namnukuu hapa….” Siku zote ukiona Mtu anakuambia ukweli jua huyo anakupenda sana na hataki uharibikiwe hivyo nawaombeni mkachape Kazi vizuri na msiwe mnawachukia wale wanaowakosoeni kwani wanawajenga “….

Sasa ole wake kuanzia leo hii nimwone Mtu wa CCM akiwa na ‘ Kiherehere ‘ na Mimi GENTAMYCINE pale nikiwa nakosoa au nashauri jambo au namwambia Mtu / Kiongozi ukweli kutokana na yale ambayo nayaona dhidi yake au dhidi ya Chama changu cha CCM.

Akhsante sana na mno Rais wangu Dr. Magufuli.

Nawasilisha.
 
Ndugu, usimwendekeze huyo MKUU WA WATU WASIYOJULIKANA na hizo kauli zake zenye ndimi mbili, siku zote huwa hamaanishi kile akisemacho!

Kama angelikuwa anamaanisha nakukiamini kile akisemacho wala asingempiga Risasi Mh.Lissu na ssa hivi asingefanya harakati zozote za kumuwinda Mh.Heche ili amuue/ampoteze!

Hatahivyo, uwe unamchunguza awapo mkutanoni, huwa hapendi kuulizwa maswali yenye kumpa changamoto, hujawa na hasira na kumfokea muuliza swali! Kumbuka alivyoamru, kunyang'anywa mick Mh. Heche!

Siyo wa Mchezo, Mkuu wa kitengo cha watu wasiyojulikana a.k.a wakuteka, kutesa na kuua Wananchi wake mwenyewe wenye mawazo kinzani. Mkuu wakuwabambikizia Wananchi wake kesi za uhujumu Uchumi ili wawekwe Gerezani bila dhamana kwa sbb zake binafsi za chuki na kulipa visasi!
 
Haya kayazungumze huko lumumba kwenye vikao vyeni vya asubuhi.

yeye mbona anakuwa mkali akiambiwa ukweli

Onyesha huo ukali or andika ni ukali kivipi unaouona huko mlipo Lumumba???
Na akiambiwa nini kwa mfano.. si humo nao CCM mwaga sio kuandika udaku.
 
..basi serekali iache kuwaandama viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.

..na angekuwa anatoa kauli hizo tangu ameingia madarakani taifa lisingekuwa limagawanyika kama ilivyo sasa hivi.

Cc Richard

Noted mkuu, lakini watu watataka kuitumia hiyo kupindisha hiyo kauli kwa manufaa yao.

Ssi wa nje tunapata taabu kugundua kauli yake hiyo ameitoa kwa nani.

Maelezo ya mkulu hapo analenga baraza lake la mawaziri.

Mabalozi wao wamekwishapewa ujumbe na hiyo pia imewalenga watu fulani.

Unafikiri TBC walikata ile sehemu kwa sababu zipi?

Kinachokuwa kikiendelea huko kwenye vikao vya baraza ni Msigwa pekee na timu yake ndie anayatunza.
 
Mara kwa mara GENTAMYCINE nimekuwa nikipata wakati mgumu sana tena kutoka kwa Wana CCM wenzangu hapa Jamvini JamiiForums pale nikiwa ‘ neutral ‘ katika kutoa maoni / mawazo yangu ‘ Kuntu ‘ kabisa dhidi ya Chama changu ‘ pendwa ‘ cha CCM au dhidi ya Mwenyekiti wetu Taifa na Rais wa JMT Dr. Magufuli au hata kwa baadhi ya Viongozi wake.

Nilishawahi kusema hapa hapa hii ‘ Kauli ‘ kwamba ukiona Mtu anakusema au anakuambia ‘ ukweli ‘ bila ya Kukuonea aibu / haya hata kama ni Rafiki yako au Nduguyo au vyovyote vile basi jua ya kwamba huyo ndiye Mtu ‘ pekee ‘ kabisa anayekupenda na kukutakia kheri katika maisha yako tofauti na wale ‘ Wanafiki ‘ wengi ambao wanakuficha na kujifanya wanakupenda ila siku ‘ ukianguka ‘ tu ndiyo hao hao wanaanza Kukupiga ‘ Majungu ‘ na hata ‘ Kukucheka ‘ pia.

Leo wakati akitoa ‘ nasaha ‘ zake dhidi ya Viongozi walioapishwa baada ya ‘ Kuwateua ‘ Rais Dr. Magufuli mwenyewe kwa mdomo wake alisema hii ‘ Kauli ‘ kama yangu ambayo namnukuu hapa….” Siku zote ukiona Mtu anakuambia ukweli jua huyo anakupenda sana na hataki uharibikiwe hivyo nawaombeni mkachape Kazi vizuri na msiwe mnawachukia wale wanaowakosoeni kwani wanawajenga “….

Sasa ole wake kuanzia leo hii nimwone Mtu wa CCM akiwa na ‘ Kiherehere ‘ na Mimi GENTAMYCINE pale nikiwa nakosoa au nashauri jambo au namwambia Mtu / Kiongozi ukweli kutokana na yale ambayo nayaona dhidi yake au dhidi ya Chama changu cha CCM.

Akhsante sana na mno Rais wangu Dr. Magufuli.

Nawasilisha.
Mleta thread, topic zako ziko so disturbing na hazivumiliki. una force watu tu-loose our tempers na tumkosee mola wetu! we ni zaidi ya Lofa...
 
Noted mkuu, lakini watu watataka kuitumia hiyo kupindisha hiyo kauli kwa manufaa yao.

Ssi wa nje tunapata taabu kugundua kauli yake hiyo ameitoa kwa nani.

Maelezo ya mkulu hapo analenga baraza lake la mawaziri.

Mabalozi wao wamekwishapewa ujumbe na hiyo pia imewalenga watu fulani.

Unafikiri TBC walikata ile sehemu kwa sababu zipi?

Kinachokuwa kikiendelea huko kwenye vikao vya baraza ni Msigwa pekee na timu yake ndie anayatunza.

..I would like to believe that there was a technical glitch during VP's speech.

..mimi kwa mtizamo wangu kuna mis-step zilitokea baada ya uchaguzi mkuu and the country is still paying the price almost 3 yrs later.

..Vyama vya siasa vilitakiwa vi-reconcile baada ya uchaguzi ule. Na Raisi ndiye aliyetakiwa awe mstari wa mbele kuponya mikwaruzo na madonda yaliyotokea wakati wa kuelekea ktk kampeni na uchaguzi.

..baada ya uchaguzi tulisikia kauli kama "..uchaguzi umekwisha na Raisi ni John Pombe Magufuli.." Pia tulisikia kauli nyingine kama, "..Jecha apewe nishani..."

..Kwangu mimi that was not statesmanship. Uchaguzi unaweza kuufananisha na mchezo wa ngumi. Bondia mmoja anapomtwanga mwenzake kwa knock-out ni lazima aonyeshe ukomavu na ustaarabu kwa kutokuendelea kumshambulia akiwa chini, au kumdhihaki.

..Kwa hiyo taifa lilihitaji wasaa wa MARIDHIANO mara baada ya uchaguzi mkuu.

..Unfortunately, hilo halikutokea. badala yake mahusiano baina ya vyama vya siasa yametawaliwa na UBABE na UKATILI wa chama tawala, huku vyama vya upinzani vikijibu kwa UJEURI.
 
Mara kwa mara GENTAMYCINE nimekuwa nikipata wakati mgumu sana tena kutoka kwa Wana CCM wenzangu hapa Jamvini JamiiForums pale nikiwa ‘ neutral ‘ katika kutoa maoni / mawazo yangu ‘ Kuntu ‘ kabisa dhidi ya Chama changu ‘ pendwa ‘ cha CCM au dhidi ya Mwenyekiti wetu Taifa na Rais wa JMT Dr. Magufuli au hata kwa baadhi ya Viongozi wake.

Nilishawahi kusema hapa hapa hii ‘ Kauli ‘ kwamba ukiona Mtu anakusema au anakuambia ‘ ukweli ‘ bila ya Kukuonea aibu / haya hata kama ni Rafiki yako au Nduguyo au vyovyote vile basi jua ya kwamba huyo ndiye Mtu ‘ pekee ‘ kabisa anayekupenda na kukutakia kheri katika maisha yako tofauti na wale ‘ Wanafiki ‘ wengi ambao wanakuficha na kujifanya wanakupenda ila siku ‘ ukianguka ‘ tu ndiyo hao hao wanaanza Kukupiga ‘ Majungu ‘ na hata ‘ Kukucheka ‘ pia.

Leo wakati akitoa ‘ nasaha ‘ zake dhidi ya Viongozi walioapishwa baada ya ‘ Kuwateua ‘ Rais Dr. Magufuli mwenyewe kwa mdomo wake alisema hii ‘ Kauli ‘ kama yangu ambayo namnukuu hapa….” Siku zote ukiona Mtu anakuambia ukweli jua huyo anakupenda sana na hataki uharibikiwe hivyo nawaombeni mkachape Kazi vizuri na msiwe mnawachukia wale wanaowakosoeni kwani wanawajenga “….

Sasa ole wake kuanzia leo hii nimwone Mtu wa CCM akiwa na ‘ Kiherehere ‘ na Mimi GENTAMYCINE pale nikiwa nakosoa au nashauri jambo au namwambia Mtu / Kiongozi ukweli kutokana na yale ambayo nayaona dhidi yake au dhidi ya Chama changu cha CCM.

Akhsante sana na mno Rais wangu Dr. Magufuli.

Nawasilisha.
Zilongwa mbali zitendwa mbali
 
Back
Top Bottom