Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Rudia kusoma thread upya,nimekwambia hiyo sio excuse,jifunzeni adabu kwa wakubwa mtafanikiwa maishani mwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

..kukosolewa kwa lugha msiyoipenda siyo excuse ya kuteka, kutesa, na kubambikia wenzenu mashitaka ya kutunga.

..mnadai mmetukanwa sasa kwanini mnakwenda kufungua mashtaka ya uhujumu uchumi?

..hudhani kwamba kwa kufanya hivyo mnatumia vibaya mamlaka mliyokabidhiwa?

..Hudhani kwamba mnajivunjia heshima na kukaribisha chuki, dharau, na matusi,toka kwa wapenda haki?
 
Usiipangie serikali namna ya kukushughulikia kama ambavyo usivyopenda kuelekezwa namna bora ya ukosoaji

Aisee kumbe siku hizi kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi ni ujanja!.

Sent using Jamii Forums mobile app
siyo ujanja nanitabia mbaya sana,ila sisi vijana tunatakiwa kuwa makini sana na hii serikali tutakaa sana jela wakati familia zetu zikiteseka.ni bora kujifanya mjinga,muhimu liziki yako inapatikana kwa halali basi.
 
Usiipangie serikali namna ya kukushughulikia kama ambavyo usivyopenda kuelekezwa namna bora ya ukosoaji

Sent using Jamii Forums mobile app

..nazungumzia WATU / WATENDAJI walioko serikalini.

..kwa kweli mnatumia madaraka mliyopewa vibaya.

..mnajivunjia heshima kwa kuenenda na kutenda ndivyo-sivyo.

..Jaribuni kutenda HAKI muone kama watu wataendelea kuwakosoa kwa lugha kali.
 
Back
Top Bottom