Hatimaye Pinto alamba dume kwa jina la kuitangaza Tanzania UK

Siwaungi mkono,

Tudaraja tuduchu mmeshindwa kutumalizia hapo serengeti eti mnaita watalii watapita wapi?

Juzi nilikuwa huko watalii wamejaa lkn njia mbovu mpaka kidogo tukwame. Tanapa au Tanroad msikie aibu. Tanapa wanakusanya pesa sana, ambao hamjaenda mbugani hamwezi kuelewa ninachokisema, mzungu anatoa dola 60 kwa siku minmum ni zakukaa serengeti ni 5 imagine ni sh ngapi.

Na sasa wabongo tumepandishiwa dau kutoka 1500 mpaka 10,000. kweli hii sahihi ?
 
KUANZIA wiki ijayo Serikali ya Tanzania itazindua mpango wa kuitangaza Tanzania kwa kuweka matangazo yake kwenye mabasi ya abiria na uwanja maarufu wa ndege wa Heathrow. Mpango huo utakuwa wa miezi sita na umeigharimu Serikali Sh milioni 600.

Mkurugenzi wa Jambo Publication, Juma Pinto, alisema uzinduzi wa matangazo hayo utafanyika katika ubalozi wa Tanzania uliopo Bond Street, katikati ya jiji la London.

Pinto alisema mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mwanaidi Maajar, lakini pia Wizara ya Utalii itawakilishwa na Katibu Mkuu, Blandina Nyoni na maofisa kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).

Alisema uzinduzi huo utakuwa matangazo manne yatakayokuwa katika sehemu ya kuchukulia mizigo na inatarajiwa kwamba watu milioni 4.6 watayaona wakati kampeni hiyo itakapokamilika.

“Heathrow kuna sehemu nyingi za kuweka matangazo, lakini kampuni ya JC Decaux ilitushauri tuweke matangazo yote manne sehemu hiyo, kwani ndiyo sehemu ambayo imekuwa nadra kupata nafasi ya kuweka matangazo,” alisema Pinto.

Alisema pia sehemu hiyo ipo karibu na idara ya uhamiaji ambayo abiria wanaweza kuyaona matangazo hayo hata wakiwa sehemu ya uhamiaji, jambo ambalo linaweza kuleta mvuto mkubwa kwa watumiaji wa uwanja huo.

Mbali na Heathrow, pia katikati ya London kutakuwa na mabasi 100 yatakayokuwa na matangazo hayo na inakadiriwa zaidi ya watu milioni 30 watakuwa wakiyaona kila wiki.

Kwa mujibu wa Pinto, matangazo hayo yatakuwa yakionyesha mlima Kilimanjaro, simba, swala, chui na tembo anuani ya mtandao wa TTB na Wizara ya Utalii, huku yakiwa na maneno The Land of Kilimanjaro and Zanzibar, Discover the wonders of the world na Have you been there?

Pinto amesema mwaka ujao wa fedha kuna uwezekano mkubwa kuweka matangazo kwenye treni za chini ya ardhi na kwenye viwanja vingine vikubwa vya ndege vya Gatwick, Manchester na Birmingham.

Mkuu huyu si ni yule Juma Pinto ambaye anatuhumiwa na kuuza mihadarati? Aisee hawa jamaa wa aina yake ndio ambao wanakiangamiza sana chama chetu CCM. Hii ni aina ya kansa ambayo inaitafuna sana serikali yetu tukufu ya CCM. Chama kinafanya makosa sana kujihusisha na watu wa namna yake. Mwonekano wa huyu jamaa katika jamii ni wa mtazamo hasi kabisa.

Hapa sasa naanza kuamini hii vita ya madawa ya kulevya ambayo mh Mwakyembe anaiongoza basi ushindi wake utakuwa mgumu sana. Mtandao huu wa kuuza madawa ya kulevya ni hatari tupu.
 
Le Mutuz atudokeze namna CAG asivyo na kazi na kubakia na uzushi na majungu. Je, CAG kaonesha dalili za wazi za kushindwa maisha ya mjini? People, si mnakumbuka kwenye uzi ule wa ...Connecting Dots...Le Mutuz alisema JP alipiga pesa clean akiwa London kwa "kutumia akili".
 
Hapa ndipo Pinto aliko anzia.Kama kaibukia kwenye madawa inanikumbusha yeye kuwepo UK akipiga box mara Jambo ikamuinua sasa anautaka utajiri mkubwa zaidi .Riz ni mmojawa wakurugenzi wa gazeti la Jamboleo
 
KUANZIA wiki ijayo Serikali ya Tanzania itazindua mpango wa kuitangaza Tanzania kwa kuweka matangazo yake kwenye mabasi ya abiria na uwanja maarufu wa ndege wa Heathrow. Mpango huo utakuwa wa miezi sita na umeigharimu Serikali Sh milioni 600.

Mkurugenzi wa Jambo Publication, Juma Pinto, alisema uzinduzi wa matangazo hayo utafanyika katika ubalozi wa Tanzania uliopo Bond Street, katikati ya jiji la London.

Pinto alisema mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mwanaidi Maajar, lakini pia Wizara ya Utalii itawakilishwa na Katibu Mkuu, Blandina Nyoni na maofisa kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).

Alisema uzinduzi huo utakuwa matangazo manne yatakayokuwa katika sehemu ya kuchukulia mizigo na inatarajiwa kwamba watu milioni 4.6 watayaona wakati kampeni hiyo itakapokamilika.

“Heathrow kuna sehemu nyingi za kuweka matangazo, lakini kampuni ya JC Decaux ilitushauri tuweke matangazo yote manne sehemu hiyo, kwani ndiyo sehemu ambayo imekuwa nadra kupata nafasi ya kuweka matangazo,” alisema Pinto.

Alisema pia sehemu hiyo ipo karibu na idara ya uhamiaji ambayo abiria wanaweza kuyaona matangazo hayo hata wakiwa sehemu ya uhamiaji, jambo ambalo linaweza kuleta mvuto mkubwa kwa watumiaji wa uwanja huo.

Mbali na Heathrow, pia katikati ya London kutakuwa na mabasi 100 yatakayokuwa na matangazo hayo na inakadiriwa zaidi ya watu milioni 30 watakuwa wakiyaona kila wiki.

Kwa mujibu wa Pinto, matangazo hayo yatakuwa yakionyesha mlima Kilimanjaro, simba, swala, chui na tembo anuani ya mtandao wa TTB na Wizara ya Utalii, huku yakiwa na maneno The Land of Kilimanjaro and Zanzibar, Discover the wonders of the world na Have you been there?

Pinto amesema mwaka ujao wa fedha kuna uwezekano mkubwa kuweka matangazo kwenye treni za chini ya ardhi na kwenye viwanja vingine vikubwa vya ndege vya Gatwick, Manchester na Birmingham.

Huyu Pinto na yule wa dawa ni tofauti?
 
Ndo maanaaaa chriss Lukossi yupo bize na box na ccm, anafuata channel sio eeh?
 
Last edited by a moderator:

Huyu anamulikwa sasa hivi kwa hiyo hiyo miradi ni ya kipindi kile kabla hatujamjua vizuri yeye ni nani
 
le mutuz atudokeze namna cag asivyo na kazi na kubakia na uzushi na majungu. Je, cag kaonesha dalili za wazi za kushindwa maisha ya mjini? People, si mnakumbuka kwenye uzi ule wa ...connecting dots...le mutuz alisema jp alipiga pesa clean akiwa london kwa "kutumia akili".
kusema kweli nimezama! Jana niliposoma magazeti kuwa mh lukuvi aliwatishia wabunge kuwa wengi wao wako kwenye orodha ya sembe, nilidhani ni vitisho. Kumbe alikuwa sahihi, sidhani kiongozi makini kama yeye anaweza kusema kitu bila kuwa na hakika/kuiona hiyo orodha iwe ya kweli au ya uzishi. Lakini kinachonipatia mashaka hapa ninaposoma ripoti inayoongelewa wa cag, kisha nikisikia mtu mwenyewe anapiga fedha ndefu...pengine za kodi yetu, ninajiuliza>>>>> hivi watu huwa hawashibi fedha? Sielewi? Fedha za damu na uhai wa watu zinakawaida ya kujilipia kisasi, kama si kwenye maisha ya mhusika, basi kwa kizazi chake, chonde tumwogope mungu tunusuru maisha ya punda hawa na watumiaji
 
MKUU FITINA KWENYE REPORT YA CAG AU SEMBE? KWA NINI USIIPE HABARI HII MASHAKA BADALA YA KUSEMA NI FITNA? i MEAN NI BORA KUONA KUWA LABDA ANASINGIZIWA (WENGI HAWAJAIONA VIDEO YA CCTV), LAKINI KUSEMA NI FITNA HAPO UMEKWENDA HARAKA!
Penye rizki hapakosi fitna
 
Kuna haja gani kutambulika kuwa tunatii haki za binadamu wakati baadhi ya binadamu tunaojaribu kulinda haki zao za kuishi nk. ni washenzi wakubwa (wao wenyewe ni wauwaji wa halaiki ya watu).

Naamini kuna haja ya ku - review sheria zetu na kufanya uhujumu uchumi na rushwa viwe na adhabu ya kifo!
 
You are absolutely right. Kimsingi kanuni za HAKI zinasema HAKI YA MTU MMOJA INAFIKIA UKOMO PALE HAKI YA MTU MWINGINE INAPOANZIA. Kimsingi, HAKI YA WATUHUMIWA WA SEMBE KUTOTAJWA BILA USHAHIDI INAFIKIA UKOMO PALE HAKI YA PUNDA NA MATEJA ZINAPOANZIA! Unless tujiambie kuwa hapa Tanzania, haki za watu wengine zina umuhimu zaidi kuliko wengine. I mean wale ma-lord wana haki kuliko punda.

Back
Top Bottom