Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,485
- 34,789
Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini....
Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale karbu na kilele kama sio kileleni kabisa ndani ya masaa manane tangu litungue anga......
Katika hatua nyingine mrembo matata asiyeishiwa vituko mtoto mzuri mwenye zigo la haja Paula wa Kajala ameonyesha upendo wa dhati Kwa future husband wake Kwa kushow love baada ya kupost wimbo huo kwenye ukurasa wake wa Instagram.....
Endelea kuenjoy mziki mzur toka Kwa king of the beast , Vanny boy mtu mbaya ......