Hatimaye Paul Makonda Awashinda Waandishi Wa Habari Wote Tanzania!

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Salaam Wadau!

Moja ya Jambo nilikuwa naona Vyombo vya Habari Vimecheza kisawasawa ni Pamoja na Kumtia Adabu Paul Makonda RC wa Dar es Saalam baada ya Kuwadharau kiujumla! Ikumbukwe alipigwa ban na Vyomba vya Habari Vyote.

Nakummbuka ITV wao walikuwa harushi habari zake toka Kitambo, baada ya yeye Kutangulia Kuwadharau ikiwa ni Pamoja na Kuwatuhumu kuwa hawaungi Mkono Juhudi za Serikali.

Walianza Star TV kurusha habari za huyu RC bila hata ya Kufunguliwa! Wakafuatia Channel Ten. Sasa Leo nimeshikwa na bumbuazi baada ya Kuona na ITV wanarusha habari zake na Kumpa Airtime huyu adui wa Vyombo vya Habari. Waliyobaki ni Wahanga nambari Moja, Clauds tu.

Hii ni dhahiri, Makonda kawashinda! Kuanzia Leo, Naahidi Mbele ya Jamii Forum, Sintakaa nipoteze muda wangu kwa Kuangalia habari za Vyombo vya Tanzania hususani Television. Huu ni Ujinga na Vyombo vya Habari Mtachezea sharubu na Watu kama Makonda mpaka mshikwe nanihii!

Nimevipuuza vyombo vya Habari Tz except JF, ndiyo mnalifanya hili Taiga liangamie. Mtakuja Kujutia kukubali Utumwa Kafka Karne hii.
 
Katika siasa hakuna urafiki wa kudumu wala uadui wa kudumu.

Ila kuna maslahi ya kudumu.
 
Kosa nn kumchukia mwenzio? Acha inferiority mkuu saka hela uwe na amani ya nafsi
 
Mkapa hakukosea kuwaita makanjanja hawajitambui hawa watu na cha ajabu kabisa eti wanalilia wawe mhimili wa 4 wa dola?!
 
Salaam Wadau!

Moja ya Jambo nilikuwa naona Vyombo vya Habari Vimecheza kisawasawa ni Pamoja na Kumtia Adabu Paul Makonda RC wa Dar es Saalam baada ya Kuwadharau kiujumla! Ikumbukwe alipigwa ban na Vyomba vya Habari Vyote.

Nakummbuka ITV wao walikuwa harushi habari zake toka Kitambo, baada ya yeye Kutangulia Kuwadharau ikiwa ni Pamoja na Kuwatuhumu kuwa hawaungi Mkono Juhudi za Serikali.

Walianza Star TV kurusha habari za huyu RC bila hata ya Kufunguliwa! Wakafuatia Channel Ten. Sasa Leo nimeshikwa na bumbuazi baada ya Kuona na ITV wanarusha habari zake na Kumpa Airtime huyu adui wa Vyombo vya Habari. Waliyobaki ni Wahanga nambari Moja, Clauds tu.

Hii ni dhahiri, Makonda kawashinda! Kuanzia Leo, Naahidi Mbele ya Jamii Forum, Sintakaa nipoteze muda wangu kwa Kuangalia habari za Vyombo vya Tanzania hususani Television. Huu ni Ujinga na Vyombo vya Habari Mtachezea sharubu na Watu kama Makonda mpaka mshikwe nanihii!

Nimevipuuza vyombo vya Habari Tz except JF, ndiyo mnalifanya hili Taiga liangamie. Mtakuja Kujutia kukubali Utumwa Kafka Karne hii.
Sasa mbona hata wewe unampa airtime? Da'Mange ndio kabisa haipiti siku bila kumtangaza Makonda. Jasho litakutoka.
 
mbona si mahala pake hapa...
halafu mleta hii mada sijui uko dunia ya ngapi?? bashite hajaanza kuonyeshwa itv leo jumapili 22.10.2017!!, ni muda mrefu tu umeshapita...!
 
Hii ni dhahiri, Makonda kawashinda! Kuanzia Leo, Naahidi Mbele ya Jamii Forum, Sintakaa nipoteze muda wangu kwa Kuangalia habari za Vyombo vya Tanzania hususani Television. Huu ni Ujinga na Vyombo vya Habari Mtachezea sharubu na Watu kama Makonda mpaka mshikwe nanihii!
una uhakika unaweza shikilia unachokiwekea ahadi?!...au ndo mihemko kama wao tu!!..
 
Back
Top Bottom