Hatimaye Paul Makonda Awashinda Waandishi Wa Habari Wote Tanzania!

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Salaam Wadau!

Moja ya Jambo nilikuwa naona Vyombo vya Habari Vimecheza kisawasawa ni Pamoja na Kumtia Adabu Paul Makonda RC wa Dar es Saalam baada ya Kuwadharau kiujumla! Ikumbukwe alipigwa ban na Vyomba vya Habari Vyote.

Nakummbuka ITV wao walikuwa harushi habari zake toka Kitambo, baada ya yeye Kutangulia Kuwadharau ikiwa ni Pamoja na Kuwatuhumu kuwa hawaungi Mkono Juhudi za Serikali.

Walianza Star TV kurusha habari za huyu RC bila hata ya Kufunguliwa! Wakafuatia Channel Ten. Sasa Leo nimeshikwa na bumbuazi baada ya Kuona na ITV wanarusha habari zake na Kumpa Airtime huyu adui wa Vyombo vya Habari. Waliyobaki ni Wahanga nambari Moja, Clauds tu.

Hii ni dhahiri, Makonda kawashinda! Kuanzia Leo, Naahidi Mbele ya Jamii Forum, Sintakaa nipoteze muda wangu kwa Kuangalia habari za Vyombo vya Tanzania hususani Television. Huu ni Ujinga na Vyombo vya Habari Mtachezea sharubu na Watu kama Makonda mpaka mshikwe nanihii!

Nimevipuuza vyombo vya Habari Tz except JF, ndiyo mnalifanya hili Taiga liangamie. Mtakuja Kujutia kukubali Utumwa Kafka Karne hii.
 
Skiliza bbc ,via, na dw... hope utaenjoy mkuu
 
Nisawa na kumsamehe mgoni wako .....
 
Kipindi wanatafuta pesa za kuanzisha hizo media ulikuwa hujazaliwa hukuwachangia hata mia na usiwapangie cha kutangaza kama wasivyokupamgia wewe nini cha kuangalia pambana na hali yako tu
 
Hata baba yako basi alikuwa bado hajazalia kama Mimi unanipima kwa Kipimo hicho.
 
Back
Top Bottom