Hatimaye nmegundua mtoto si Wangu. Mama anataka kuniroga

Watu humu wakisikia DNA wqnafikiria mlolongo wa kwa mkemia. Jamani hii kitu Kuna namna mbili, either ufuate utaratibu ichukue months kupata majibu au utumie comprehensive ways upate within few days. So mtoa maada Yuko sahihi, you can have your DNA results within two to seven days. The question is what do you have, who do you know.

Naongea kutokana na uzoefu.
 
Uongo mwingine hata namna ya kuutengeneza umeshindwa?????
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.
 
Chai hii inaanzia sehemu hizi, nampa laki saba kwa mwezi, nimemnunulia mark x, nimempangia nyumba, najenga ghorofa 3, anataka kuniroga, mke kaninyima sex miezi sita yaani mchanganyiko mkubwa wa habari
 
Mkuu we mwongo sana, habari hii aliyekuandikia script kakosea, usingetaja DNA ningekuamini. DNA haipimwi hospitali, one fatal mistake, pia hakuna sehem binafsi pia inayopima DNA, rudi ujipange upya, hii ni jamii forum na sio facebook
Thanks bro..hawa mbwiga wanaoleta hadith humu warud fb..huku wanatupotezea muda
 
Wewe ni Mwalimu unalipwa laki 4,tuambie sasa umepata wapi huo utasiri wa kutuongopea!?
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.
 
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.

Mbona kama riwaya, najua DNA inapimwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali tu. Hiyo kupimwa mara 3 sehemu tofauti ni zipi?
 
Samahani lakini kwa mtizamo wa ki-RC Makonda

Wewe ni MHAYA wa wapi ndugu!!!!

Maana kwa mijisifa hiyo hata bepari la kihaya a.k.a Mpoki haoni ndani.

Chai nyingi sana, unaongelea kitu kidogo tu kubambikiwa mtoto lakini umeleeza mambo mia.

Chai hii imekolea chumvi
 
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.
DNA haipimwi kirahisi hivyo,acha uongo wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom