Hatimaye nimerudi kwenye mshahara wangu wa laki 4 kwa mwezi

Tatizo mtu anataka afungue biashara na apate faida mwaka wa kwanza tu

Biashara inataka uwekezaji wa maana ukifikiria je unaweza kumudu kodi miaka 3 ya kwanza? Na pia ukawa na stock ya uhakika?
Una bidhaa 10 kila bidhaa box 10 unajiita wholesaler really
Halafu humo humo uhonge na ulewe

Biashara sio kwa kila mmoja jamani
Wengine tumeanza kuziona tangu utotoni na kukua na hela na kuwa na urafiki wa karibu na hela
Yaani unahakikisha zinakuwa nyingi ili ziwe familia kubwa ya hela
Sasa kila ukiangalia zinapungua ujue wewe hela hazikupendi na wewe huzipendi period
 
Unajifanya unajuua maisha ya mtoa mada kuliko yeye muhusika!
 
Biashara ni kipaji! Biashara inahitaji akili kubwa na matumizi mazuri ya fursa zinazo kuzunguka! Biashara haitaki maigizo! Siyo kila mtu kazaliwa na karama ya kuwa mfanyabiashara.

Unamuona jirani yako anasafirisha nyanya kupeleka mjini, na wewe unakurupuka na wewe kusafirisha nyanya hizo hizo kupeleka mjini!

Lazima uangukie pua. Maana utakuwa hujafanya utafiti wowote ule wa hiyo biashara.

All the best kwa kurudi utumwani. Binafsi nipo kwenye maandalizi kabambe ya kuachana na huu utumwa wa kuajiriwa! Na naamini sitokuja kuyajutia maamuzi yangu.
 
Duuuh unachekelea kurudi kwenye utumwa

Biashara mpaka isimame sio kitu cha mwezi au mwaka mmoja

Ilinichukua miaka minne kuisimamisha japo ni kweli niliangusha biashara zangu na kukumbiwa na wafanyakazi mpaka kuamua mimi au mke tu ndio tusimamie

Hapo ikaleta matunda, nakushauri japo umerudi kazini ila tengeneza misingi mkuu ya biashara zako kuna kukosa nguvu mbeleni kwenye fainali
Tena usipende sehemu za bure bure ubongo unalala

Asante
Ilituchukua miaka mitano ya changamoto nyingi kuisimamisha biashara ya day care center.. Sasa hivi tumeajiri watu watano
Kiukweli biashara inataka moyo sana na discipline ya hali ya juu.
 
Duuuh unachekelea kurudi kwenye utumwa

Biashara mpaka isimame sio kitu cha mwezi au mwaka mmoja

Ilinichukua miaka minne kuisimamisha japo ni kweli niliangusha biashara zangu na kukumbiwa na wafanyakazi mpaka kuamua mimi au mke tu ndio tusimamie

Hapo ikaleta matunda, nakushauri japo umerudi kazini ila tengeneza misingi mkuu ya biashara zako kuna kukosa nguvu mbeleni kwenye fainali
Tena usipende sehemu za bure bure ubongo unalala

Asante
Mshukuru sana mkeo bila yeye ungefunga biashara.
 
Biashara ni kipaji! Biashara inahitaji akili kubwa na matumizi mazuri ya fursa zinazo kuzunguka! Biashara haitaki maigizo! Siyo kila mtu kazaliwa na karama ya kuwa mfanyabiashara.

Unamuona jirani yako anasafirisha nyanya kupeleka mjini, na wewe unakurupuka na wewe kusafirisha nyanya hizo hizo kupeleka mjini!
Lazima uangukie pua. Maana utakuwa hujafanya utafiti wowote ule wa hiyo biashara.

All the best kwa kurudi utumwani. Binafsi nipo kwenye maandalizi kabambe ya kuachana na huu utumwa wa kuajiriwa! Na naamini sitokuja kuyajutia maamuzi yangu.

Mbona kuajiliwa sio utumwa? Au mimi nna mtazamo tofauti..
 
Tatizo mtu anataka afungue biashara na apate faida mwaka wa kwanza tu

Biashara inataka uwekezaji wa maana ukifikiria je unaweza kumudu kodi miaka 3 ya kwanza? Na pia ukawa na stock ya uhakika?
Una bidhaa 10 kila bidhaa box 10 unajiita wholesaler really
Halafu humo humo uhonge na ulewe

Biashara sio kwa kila mmoja jamani
Wengine tumeanza kuziona tangu utotoni na kukua na hela na kuwa na urafiki wa karibu na hela
Yaani unahakikisha zinakuwa nyingi ili ziwe familia kubwa ya hela
Sasa kila ukiangalia zinapungua ujue wewe hela hazikupendi na wewe huzipendi period

Unayajua maisha ya mtoa mada vizuri sana ..
 
Back
Top Bottom