Hatimaye nimerudi kwenye mshahara wangu wa laki 4 kwa mwezi

Hapa kipindi nateseka juani..sio haba ilikua ukitoka asbhi saa zingine unarudi na laki 3..enzi za kutafuta uhuru..lakini tutaache yaliopita tugange yajayo..saivi naisubiria laki 4 kivulini kwenye air condition na uhuru nnao sbb sinyanyaswi na huyu boss wangu..naingia saa mbili nakula chakula cha ofisni narudi saa kumi na moja nyumbani naenda gym narudi nyumbani..na kunawili nimeshaanza …usinionee wivu kwa kufukua makaburi
 
Baada ya kupigika ndani ya miaka mitatu ya kuacha kazi niliyoona haina maslahi..kufungua biashara zikanishinda na kuzifunga nyingine kuziuza baada ya kuchoka kuumiza kichwa.

Nimerudi rasmi kwenye maisha ya mshaara wa laki nne kwa mwezi..uzuri nna gari yangu nilionunua baada ya kuuza biashara zangu..maisha sio shida kabisa..nimerudi kwenye nyumba ya bure kabisa, sijilipii matibabu nalipiwa na ofisi yangu pendwa nashkuru wamenipokea.

Tuacheni uongo biashara ni jambo lingine kabisa, asije akakushauri mtu uache kazi uingie kwenye ujasiliamali..biashara zina mambo mengiii hatari..nilipigika adi tsh 10 nilikua naiona kubwa.

Nashkuru sasa maisha yamenifunza nna adabu ofisini hapa sbabu najua nilipotokea.

Bahati mbaya sana nilishazoea maisha na ya udalali pia kwaiyo kule ilikua full kupigwa na jua kupambana na ela ukipata inaishia siku io io au kesho yake.

Hivyo mshahara nikipata hua unaisha ndani ya siku mbili alaf naanza ganga njaa au kuishi kimiujiza..ila nimeridhika kama ipo ipo tu siku moja mungu akiamua kunifungulia atafungua bila kutoa jasho kama nilivyotoa jasho kabla bila mafanikio yoyote..nakumbuka kuna njia nilikua sijawahi kupita ndani ya miaka lakini nilizipita..njaa nilikua nashinda hata siku mbili kwaiyo hamna kinachonitisha kwa sasa.

Tushukuruni sana hizi nafasi zetu mungu alizotupa..tusiziwekee kiburi wala kudharau na kujiona tunaweza kuliko wengine..maarifa ni muhimu sana kabla ya kufanya maamuzi ya haraka.

Wasalaam…
kweli wabongo tunapenda utumwa, sasa huzo zinazozidi laki nne si unaziapta kwa ujasiliamali au wewe mwizi unamwibia mwajili wako
 
Hongera mkuu

Muhimu ni kwamba kila mtu afanye lililo bora kwake.

Mimi huniambii kitu kuhusu biashara, naanguka nainuka, naanguka tena nainuka, sikomi na sijawahi kukoma.

Kila unavyoanguka ndivyo unavyozidi kugundua ulikosea wapi.

Lakini pia biashara ni kama mtoto wa binadamu, lazima apakatwe, aanze kukaa, atambae, asimame, atembee, ukitaka kuruka hizi hatua hakuna siku utaona biashara ni chaguo sahihi
 
Siku ukitumbuliwa ndio utajua biashara ni muhimu.

Hata huko kwenye biashara sidhani kama uliweka nia kweli coz ulikuwa unajua hata ukibuma utarudi kazini
 
Baada ya kupigika ndani ya miaka mitatu ya kuacha kazi niliyoona haina maslahi..kufungua biashara zikanishinda na kuzifunga nyingine kuziuza baada ya kuchoka kuumiza kichwa.

Nimerudi rasmi kwenye maisha ya mshaara wa laki nne kwa mwezi..uzuri nna gari yangu nilionunua baada ya kuuza biashara zangu..maisha sio shida kabisa..nimerudi kwenye nyumba ya bure kabisa, sijilipii matibabu nalipiwa na ofisi yangu pendwa nashkuru wamenipokea.

Tuacheni uongo biashara ni jambo lingine kabisa, asije akakushauri mtu uache kazi uingie kwenye ujasiliamali..biashara zina mambo mengiii hatari..nilipigika adi tsh 10 nilikua naiona kubwa.

Nashkuru sasa maisha yamenifunza nna adabu ofisini hapa sbabu najua nilipotokea.

Bahati mbaya sana nilishazoea maisha na ya udalali pia kwaiyo kule ilikua full kupigwa na jua kupambana na ela ukipata inaishia siku io io au kesho yake.

Hivyo mshahara nikipata hua unaisha ndani ya siku mbili alaf naanza ganga njaa au kuishi kimiujiza..ila nimeridhika kama ipo ipo tu siku moja mungu akiamua kunifungulia atafungua bila kutoa jasho kama nilivyotoa jasho kabla bila mafanikio yoyote..nakumbuka kuna njia nilikua sijawahi kupita ndani ya miaka lakini nilizipita..njaa nilikua nashinda hata siku mbili kwaiyo hamna kinachonitisha kwa sasa.

Tushukuruni sana hizi nafasi zetu mungu alizotupa..tusiziwekee kiburi wala kudharau na kujiona tunaweza kuliko wengine..maarifa ni muhimu sana kabla ya kufanya maamuzi ya haraka.

Wasalaam…
Pumzika huko huko biashara tuachie akina sie
 
Nakumbuka ulikuja kuomba ushauri hapa,Umefanya uamuzi sahihi
 
Hapa kipindi nateseka juani..sio haba ilikua ukitoka asbhi saa zingine unarudi na laki 3..enzi za kutafuta uhuru..lakini tutaache yaliopita tugange yajayo..saivi naisubiria laki 4 kivulini kwenye air condition na uhuru nnao sbb sinyanyaswi na huyu boss wangu..naingia saa mbili nakula chakula cha ofisni narudi saa kumi na moja nyumbani naenda gym narudi nyumbani..na kunawili nimeshaanza …usinionee wivu kwa kufukua makaburi
Kiulaiiini umekubali mwenyewe......!
 
Nimeyarudia lakini nahisi bado yapo fresh kabisa kuingia tena kinywani…unaeniambia hivyo utadhani wewe una maisha mazuri kumbe unashinda mitandao ya kijamii..mwenzio saivi nmetosha kushika posho tayari ya weekend..na kesho hamna kazi..juzi nimepokea laki nne mfukoni
😂😂😂
 
Kwanza hongera , kwa kufanya maamuzi ya kufanya biashara lkn pole kwa kushindwa kufikia leo, ww ni sawa na mwanajeshi aliamua kujifunza ukomando, mwanajeshi halazimishwi kwenda kozi ya ukomando bali kwa hiyali yake mwenyewe na ikitokea ukashindwa kumaliza mafunzo unarudi jeshini na unaendelea na kazi kama kawaida, na ukirudi hakuna anaekucheka zaid ya kukupa hongera kwa hatua uliofikia kwa sababu mafunzo ya mwisho ya ukomando ni kupigana ana kwa silaha za moto ukifa ndio umekufa kweli nitolee hiyo. Umefanya kitu kimoja kibaya sana uliacha kazi ikiwa biashara yako haijakua hilo kosa kubwa sana anzisha biashara hakikisha ktk biashara yako hautoi hata mia kwa muda wa mwaka mmoja ina maaana uwe nasehemu nyingine ya kuendesha maisha yako simamia biashara yako kikamilifu hata kama unafanya kazi nyingine punguza kujifanya bosi yaani unao muda kuna kazi unaiweza alafu unamtuma mtu afanye kisha unamlipa cku ambazo huwendi kazini damka ww kwenda kwenye biashara yako, najua umerudi kazini lkn umejua changamoto zilizopo ktk biashara ukianzia kwa majirani wafanyakazi jinsi ya kununua na kuuza nk pole sana , jipange urudi tena ulingoni
 
Nilishafanya hivyo kwa almost two years lakini imeshindikana..najua ata hivi life litaenda tu..
Haha only two years!!!??? How soon ulitegemea biashara iku
Ilinichukua miaka nane ku master nilicho invest na sikuwa na option ya kuajiriwa .

Life doesn't get easier ,you just get stronger
 
Back
Top Bottom