Hatimaye nimepata namba ya NIDA baada ya kuisubiri miaka 2

Statesmann

JF-Expert Member
Jul 16, 2019
2,344
3,460
Nilijiandikisha na kupiga picha November 2017 leo ndiyo namba imetoka na nasubiri kitambulisho kitoke.

Ila hawa NIDA sijui wanakwama wapi mbona NEC 2014 ilikuwa faster unapata? Ngoja nikafukuzie passport, naambiwa muziki wake si wa kitoto.
 
Kitambulisho nacho utasubiri kwa miaka 2.
NIDA ingeitwa Mamlaka ya Namba za Taifa.
 
Back
Top Bottom