DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,381
- 29,627
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie
lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesema
hataki tena kujiunga fb!
Saa hivi niko zangu kibarazani naendelea kupunguza uchovu sakafuni