Shaka ondoa mrembo jisikie uko kwa home,unapendela msoi gani?Hodi!
naomba kukaribishwa jamani wanajamii!
karibu sana mamii
Shaka ondoa mrembo jisikie uko kwa home,unapendela msoi gani?
karibu mkuu pitia kwanza jf rules.
Karibu sana
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Karibu sana JF...
Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!Jamani!nimefarijika sana kwa ukaribisho wenu jamani! nawashukuru sana kwa moyo mmoja!Ahsanteni sana!
teh teh teh!!Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!
Wewe mtoto kweli upo????!!!! nipo hooooooooooooooooooooooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekumis mbaya!karibu sana mamii
Aisee, watu8 bhana! eti "umetukusanya lumbesa ukatujibu kwa kwa mpigo"!Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!
teh teh teh!!
Umenifanya niangue kicheko kikubwa sana.
JF kuna mambo sana.
Nafikiri atakuwa amepata oriention kwanza kabla ya kujiunga JF, maana huu uzoefu alioanza nao hata mimi sina.
Karibu sana JF. Hapa sote ni ndugu au marafiki.Hodi!
naomba kukaribishwa jamani wanajamii!
Wewe mtoto kweli upo????!!!! nipo hooooooooooooooooooooooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekumis mbaya!
nipo sn..ww sikuonioni...nimekumissooo
Karibu sana JF. Hapa sote ni ndugu au marafiki.
Nahisi utakuwa mrembo wa Ukweli, please tupia na picha yako kidogo tufurahi pamoja!!!
Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!