Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Kuna matapeli wa viwango vya lami humu,kuwa makini jitu likikutokea pm kukuomba pesa kwa ahadi ya kurudisha kesho ujue hilo tapeli,kuna mmoja walinzi wa jf wamemkata vidole ashindwe kuandika ili asije kutapeli tena humu jf
 
Shukrani mkuu, kumbe watu wamefikia hadi hatua hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom