Inaelekea ni kweli, maana ni mkongwe sana hapaKaribu Sana, Usiwe Na Post Za Fb Humu Maana Wote Ni Great Thinkers, Pia Kumbuka Kila Asubuhi Kunipa Heshima Mimi Chief Wa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli sana, hili jukwaa ni tamu sana.Kweli ni kisiwa cha maarifa na burudani. Baada ya mishughuliko yangu ya kutwa ninaondoa uchovu na JF kuna watu wananifurahisha sana majibu mafupi ya vichekesho. Nitajiungaje Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahhaaaaaDx and Rx hadi Leo hutaki kusema jinsia yako....
Anyway nishakutrace we KE mubashara
Sent using Jamii Forums mobile app