Wewe mtaalamu wa telecommunications/umeme maana jina lako limenikumbusha sijui engineering materials au control engineeringTutajuana mbele ya safari
unazingua sasaTutajuana mbele ya safari
ok sawa..wewe ni Mwanamke au mwanaume??Bado sijazijua sheria za humu, naweza kufanya kama unavyotaka kumbe nitakuwa nimevunja sheria.
Ndio maana nimekuambia mbele ya safari mambo yatakaa sawa