Shukrani mkuu.Karibu mwaya, jisikie upo sebleni
Hahaha usijali comradeYechu mkuu nimefurai hata kwenye huu uzi umekalia kiti chako comrade.
Asantee mkuu.Karibu kiongozi
Huo utaratibu sina na siwezi kufanya ivyo mkuu.kama una mke usimtambulishe kwa members wa humu
Karibu sana, uko tayari kulogwa.Nimekuwa mfuasi mzuri sana wa jamiiforum kwa muda wa miaka mitano sasa ila sikuwa na uwezo wakuchangia mada na kuweka nyuzi kwakuwa sikua msajiliwa humu jana nimechukua maamuzi ya kujiunga na kuwa mmoja kati ya watu takribani laki nne wanao tumia mtandao maashuhuri wa jamii wenye malengo chanya kwa jamii ninayo furaha sana kujiunga nanyi nasema hodiii!!!!
Kwani wewe huwa unawanga humu ndani mkuu.Karibu sana, uko tayari kulogwa.
haahahha yani wewe ,, joseverest,, we unaionaje hizi swagger ,, atakuwa adamu 2Karibu mkuu...Wewe ni Adam au Hawa?
Chumbani je?Karibu mwaya, jisikie upo sebleni
Yap yap nimeshajua aiseehaahahha yani wewe ,, joseverest,, we unaionaje hizi swagger ,, atakuwa adamu 2
HapanaChumbani je?
Chumbani nitaingia tu ngoja kwanza niizowee sebule.Hapana
Ahsante nimekuwa mwenyeji sasa...Karibusana JF........