Hatimaye nimefanikiwa kutengeneza Android App

Hizi native app hazina ufundi wowote hata ambaye hajui programming anaweza anaingia youtube tu jinsi ya kutengeneza blog kua app ya android
 
Updates za mambo mbalimbali mkuu.
Michezo, elimu, habari(kitaifa na kimataifa), technology hark tricks, entertainment.... Na mengineyo mengi..
kwan hamuwezi kibuni mambo mengine ukiondoa haya ambayo kila siku yapo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom