Hatimaye nimechumbiwa

Siku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.

Nataka niweke hata picha ya mkono lakini naogopa. Nina furaha sana leo.
We huna tofauti na kidukulilo sound nyingi
 
Hongera sana mkuu,,kwa kuchumbiwa.

Gari namba TZA kupata mteja usawa huu ni jambo la kushukuru sana kwa kweli.
 
Siku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.

Nataka niweke hata picha ya mkono lakini naogopa. Nina furaha sana leo.
Na mtaachana tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom