Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,645
JE bado niamini kuwa ananipenda
Ukirejea uzi huu wa Juu nimeamua kuachana na Mchumba wangu rasmi ila nimejifunza Yafuatayo
1:Usiamini chozi la Mwanamke -kwa hata mimi alinililia nikajiona napendwa
2:Mahusiano ya Mbali yana Changamoto
Ushauri kwa Wadada
1:Tenga mda wa kutosha kwa ajiri ya Mchumba au Mume Wako
2:Usiendekeze marafiki wa Wasap,Facebook na mitandao mingine ya Kijamii na Ukiwa online basi usimsahau mwenzako (Mchumba) share naye picha,video,text or audio keep his update ili haisi uwepo wako
3:Tofautisha kati ya Mchumba na Rafiki (usimfanye rafiki awe kama Mchumba na Mchumba awe kama Rafiki
4:Mwanaume anaitaji heshima kama kupendwa alisha pendwa na mama yake
5:Epuka kumjibu kwa lugha chafu
6:Usishindane na Mwanaume
7:Kuwa mwepesi kusamehe
NB:NILIMPENDA ALINIPENDA LAKINI MWACHE AENDE