Hatimaye nccr yathibitisha kumvua uanachama, kafulila. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye nccr yathibitisha kumvua uanachama, kafulila.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ralphryder, Dec 18, 2011.

 1. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Chama cha nccr kimethibitisha kumvua uanachama kafulila. Source, ch ten.
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ubunge atapoteza, je mikopo aliyochukua kwa nafasi yake kama mbunge atarejeshaje
   
 3. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ndo maana kapiga magoti na kulia hadharani kama mtoto! Chejea mkopo we!
   
 4. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Lazima tuwe na mashaka. Huenda baadhi ya wanasiasa wana bei ndogo. Namuangalia Kafulila na Hamad Rashid. KUna hawa CCM wanaopigania roho zao, isije wakawa wanatafuta kuinua jina lao kwa kutafuta vyama vingine vionekane havifai wakati wao wameshindwa kufukuza hata wezi na vibaka!
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Nimeona Ruhuza naye akijichanganya sana...ni kama anasema SIZITAKI MBICHI HIZI............
   
 6. T

  Taso JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kimethibitisha kumvua uanachama kwa kosa gani?
   
Loading...