Mimi Dume mzee.karibu sana ila tukukumbushe, mkuu wa mkoaa sio makonda, wala abdala kunenge yupo mwingine, pia ubungo kuna njiaa nne na lile jengo la tenesco wamelibomoaa upande na pia sijajua wewe jinsia gan!?? ningekushauri tena!
karibu sana maanaa vijana wengi wanapenda kuishi kwa mpalange, ila siku shauri uishi kuleMimi Dume mzee.
Niliondoka 2014 sikumbuki mkuu wa Mkoa alikuwa nani.
Najua barabara zimebadilika sana.
mkuu kama ulizoea kwenda kona bar kwa sasa hamna kituMimi Dume mzee.
Niliondoka 2014 sikumbuki mkuu wa Mkoa alikuwa nani.
Najua barabara zimebadilika sana.
Aliyesema hivyo si ndiyo karejea kwao anaitwa mwendazake??wenzio tuliambiwa tutarejea makwetu ndani ya miaka 5, tukapambana hadi leo tupoo Jiji la Dar
welcome back