chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,118
- 22,505
Kizibo kimepata chupa
Kama ulikuwapo...Mwandiko wa kiha huu
Jini mkata kamba nakuonaTuletee huyo kuku wa kienyeji tumfundishe kunywa Heineken na kustarehe mjini!
Majibu utayapata tu hata kina Shilole walipotoka Igunga na kufika mjini mwanzoni walikuwa na adabu.
Weeeeh nani kakwambia tupo wengi!!!Mbona wanawake ni wengi mno zama hizi unazungumzia kama tupo enzi za ukoloni?
Naamini mkuuNo thank you.
Tutaishi maisha ya kwetu kulingana na mfuko wetu.
Kila lenye heri mkuu, Mungu awatangulie.Wakuu salam!
Nimekuwa nikihangaika kutafuta msichana wa kuoa kwa miezi kadhaa bila mafanikio. Nikadiriki kuleta uzi kule love connect kutafuta msichana wa kuoa lakini sikuambulia hata salam ya msichana hata mmoja.
ASANTENI SANA, KARIBUNI
Kila la kheri...mungu awapiganie katika penzi lenu
.duh!!!Tuletee huyo kuku wa kienyeji tumfundishe kunywa Heineken na kustarehe mjini!
Majibu utayapata tu hata kina Shilole walipotoka Igunga na kufika mjini mwanzoni walikuwa na adabu.
Ohooo!!!Una kazi nzito ya kumtenganisha na first lover wake huyu ndie atakaekuwa anamla ukishamuoa.
Tuletee huyo kuku wa kienyeji tumfundishe kunywa Heineken na kustarehe mjini!
Majibu utayapata tu hata kina Shilole walipotoka Igunga na kufika mjini mwanzoni walikuwa na adabu.
Ndio ninaye!Na wewe una mpenzi?