Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 2,826
- 2,000
Kila la heri mkuu
Sawa mkuu nitarekebishaMkuu naona kunasehemu umemuita DOGO!!!!!!!!
Sio vyema kumuita hivyo mtu muhimu kama yeye!
Respect
Exposure ipo japo sio kubwa sana, lakini amesoma hadi kidato cha 4 na amesomea mbali kidogo na nyumbani (karibu na mjini).Exposure hapo ndo itakua shida na suala la malezi bora ya watoto litakua la kwako 80%
Ndio ninaye!
We jamaa sijui kwa nini huwa uko negative kwenye suala la mahusianoMtaachana tu..
Siku hazigandi
Mkuu nisamehe kama umekwazika ila am being honest.Mi sio mnafiki.we jamaa sijui kwa nini huwa uko negative kwenye suala la mahusiano
Katika kosa mabalo siwezi tena kufanya ni kuwa katika mahusiano halafu nikae muda mref sijaoa. Ilishanicost zaidi ya mara 2.Kiongoz nikushauri kwamba kwa umri wa binti '19' ni bado sana kusema kuwa ametulia. Huyo binti ndo kwanza ametoka kweny utoto anaingia kweny usichana kwaiyo sio rahisi kwake kuwa na matukio tata mpaka kufikia muda huu. Nachokushauri endelea kuwa nae kwenye uchumba walau miaka mi3 ndo utajua tabia yake halisi.
Hata wewe huyo binti ni ndugu yako mbona imewezekana tuAsante sana mkuu. Jamaa ni mtu poa kabisa, nimesoma nae namfaham kabisa kabisa hana tabia za kihuni na zaidi ameoa na ana familia yake. Na Zaidi ya yote, yeye (jamaa) na huyo binti ni mtu na kaka yake kiukoo
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us