Hatimaye naenda kuoa Moshi mke wa pili raha jipe mwenyewe

Huyo mke aliyekuacha alikuwa sahihi 100% maana kichwani kwako una chuki kuhusu Israel na Marekani. Hauna kitu kipya zaidi ya kuwaza vita na vifo tu akaona ipo siku unaweza kumdedisha.
Hata huyu usipojirekebisha lazima akukimbie maana akiingia JF anakutana nyuzi Oh Israel atachakazwa akimchokoza Iran, Iran ametengeneza mabomu kwa ajili ya kuipiga Israel. Marekani karibia watu 20000 wanakufa kila siku. Anaona huyu hamna kitu.
Kumbe unateseka jamaa. Kuwadiss mashoga wa 🇺🇸 🤣🤣🤣🤣! Kama jamaa ana akili ya kutambua wamarekani sio watu basi mke wake atadumu nae sana.
 
Back
Top Bottom