Hatimaye Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro, Lembruce Mchome aachiwa kwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,627
218,057
Instagram media - CBK-mX4A_5J ( 743 X 640 ).jpg

Hii ni baada ya kukalishwa selo kwa mwezi mmoja , ameachiwa leo jumatatu . Alikamatwa kwa tuhuma za kupiga picha gari la DG wa TISS , lakini baadaye akashitakiwa kwa kesi ya kuumba ya kusambaza picha za ngono .

Shukrani ziwaendee wanasheria wa Chadema
 
Hotuba ya mh Lissu imefanya yake hiyo kwani unadhani kila mwenye kadi ya ccm ni ccm kutoka moyoni?
View attachment 1472098

Back
Top Bottom