Hatimaye Mtu aliyepooza ataweza kutumia smartphones au viungo vya roboti kwa akili zao

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,731
21,132
106683060-1598656378207-Screen_Shot_2020-08-28_at_34704_PM.jpeg

Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia mabawa (not as we see on movie) lakini kwa uwazi na kila mtu kununua na kutumia kifaa husika.

Leo matajiri duniani akiwepo Elon Musk, mwanzilishi wa SpaceX na afisa mkuu mtendaji wa Tesla -gari unayotumia umeme anaendelea kuwekeza shekeli zake kwa wingi kwenye mapinduzi haya ya maisha ya mwanadamu, ambapo muda mfupi ujao anasema binadamu mwenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo siku moja atakuja kitumia simu ya Kiganjani (smartphone) kwa akili yake ya kawaida.

Niache maneno yangu hebu msome hapa 👇🏾...
 
View attachment 1771019

Niache maneno yangu hebu msome hapa ...
Ni hatua kubwa sana. Huyu jamaa leo angekua yupo Tz wenda angeishia kuwa kada wa ccm kama sio kutekwa kisa kakataa kuchangia kampeni za ccm.

MB: Sisi bado tunaamini serikali inatakiwa kufanya biashara tukaishia kuwa ATCL inayo ingiza hasara ya 60bil per year..
 
😂 Afrika hasa nchi za daraja la tatu bado sana, sisi hatua tuliyofikia ni siasa za kutekana na kusemeana mbovu hata kwenye jambo lenye maslahi.

Raia akiwekeza kwenye mandege kesho serikali inakuja kumpandishia kodi au kimfukuza 🙁!.
 
View attachment 1771019

Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia mabawa (not as we see on movie) lakini kwa uwazi na kila mtu kununua na kutumia kifaa husika.

Leo matajiri duniani akiwepo Elon Musk, mwanzilishi wa SpaceX na afisa mkuu mtendaji wa Tesla -gari unayotumia umeme anaendelea kuwekeza shekeli zake kwa wingi kwenye mapinduzi haya ya maisha ya mwanadamu, ambapo muda mfupi ujao anasema binadamu mwenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo siku moja atakuja kitumia simu ya Kiganjani (smartphone) kwa akili yake ya kawaida.

Niache maneno yangu hebu msome hapa 👇🏾...
Siku zotw nasema magenius kazi yao ni kuwatumikia watu,kuwarahisishia watu maisha yao kwa namna yeyote ile.

Kongole kwake elon na jopo lake zima.

Kazi kama hizi mungu anakuzidishia hapa duniani bila kuangalia dini yako.
 
Hiyo paragraph ya kwanza nakubaliana nawe kabisa
 
Yah mpaka sasa karibia walemavu wote wanaweza kutumia vifaa mbalimbali vya kiteknolojia. Mimi pia ni mnufaika wa teknolojia kwa watu wenye ulemavu.
 
Hebu tupe uzoefu wako kutokana na teknolojia inavyoleta furaha kwa watu wote duniani!.
 
Kwanza kabisa mkuu mimi ni mtu asiyeona. Teknolojia imenisaidia katika masuala yangu ya kusoma mpaka naajiriwa.
Pili nawezawasiliana na ndugu na jamaa na kushiriki katika mijadala mbalimbali ndani ya mitandao ya kijamii na kwingineko.
Tatu nawezaburudika kwa muziki hata games.
Nne najielimisha kwa kusoma vitabu wavuti na aps mbalimbali zinazotoa habari duniani kote.
 
Good and 👏🏾👏🏾👏🏾, ni nani anakuandikia hizi comments kwa sasa? 😁
 
Siku zotw nasema magenius kazi yao ni kuwatumikia watu,kuwarahisishia watu maisha yao kwa namna yeyote ile.

Kongole kwake elon na jopo lake zima.

Kazi kama hizi mungu anakuzidishia hapa duniani bila kuangalia dini yako.
Mungu hana dini anamsapoti binadamu yoyote anaejiongeza na kutumia vyema uwezo aliopewa.
 
Good and , ni nani anakuandikia hizi comments kwa sasa?
Kifupi ninafanya mwenyewe kila kitu. Nilitolea ufafanuzi hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom