TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,731
- 21,134
Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia mabawa (not as we see on movie) lakini kwa uwazi na kila mtu kununua na kutumia kifaa husika.
Leo matajiri duniani akiwepo Elon Musk, mwanzilishi wa SpaceX na afisa mkuu mtendaji wa Tesla -gari unayotumia umeme anaendelea kuwekeza shekeli zake kwa wingi kwenye mapinduzi haya ya maisha ya mwanadamu, ambapo muda mfupi ujao anasema binadamu mwenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo siku moja atakuja kitumia simu ya Kiganjani (smartphone) kwa akili yake ya kawaida.
Niache maneno yangu hebu msome hapa 👇🏾...
Neuralink co-founder Max Hodak leaves Elon Musk's brain implant company
Neuralink co-founder Max Hodak leaves Elon Musk's brain implant company
www.cnbc.com