Hatimaye mtoto mdogo aliyekuwa na "addiction" ya kuvuta Sigara zaidi ya 20 kwa siku apata matibabu

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,828
image.png
image.jpeg
image.jpegHuyu mtoto anaitwa Ardi,miaka nane iliyopita habari zake zilienea sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa "Teja" wa uvutaji wa sigara kiasi kwa siku alikuwa anavuta zaidi ya sigara 20

Hali hii iliwastua watu na hasa mashirika makubwa na watoto mbalimbali duniani...Ikaanza kampeni ya kumsaidia kuondokana na uvutaji huo wa sigara.Watoto wengi duniani walijitoa na mashirika pia yalijitoa kumsaidia.

Bahati mbaya au nzuri walifanikiwa kumuondoa ktk uvutaji wa sigara,na baadae "addiction" yake ikageuka kwenye kula misosi mpaka akapata "obesity"...Ikabid ianze kazi mpya ya kumfanya afuate "balanced diet" ili awe ktk mwili wake mzuri...

Mwishowe amefanikiwa,na sasa si mvutaji tena wa sigara na mwili wake umeimarika...
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    9.8 KB · Views: 58
Back
Top Bottom